Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Sasa ukipewa bure ndio ujifanye ndio haki yako. Shauri yako utakosa kyumar kwa 20,000 tu. Subiri akumwage urudi kwenye sabuni.Mbona mwanzo alikua buree mkuu

Ww umeambiwa ulipie pesa ya kusuka ,kuna mwenzako ameambiwa alipie bando la mwezi kuna mwenzako ameambiwa awe anatoa pesa ya kula kwa hiyo mmegawana majukumu ila ww huwajui wenzako na wenzako hawakujui ww kiufupi hamjuani, pole sana ,unachanganya mapenzi na elimu kuwa makini dogo. Hizo nyege mshindo zako zitakurudisha kwenu na kilo 2 achana na mambo hayoWakuu poleni na hongera katika shughuli zenu za hapa na pale
Sasa nimekuja kwenu, mnishauri mimi kama kijana wa kiume nisie na kazi na bado nawategemea wazazi kwa kuwa bado ninasoma
Iko hivi niko kwenye mahusiano na msichana kwa muda ambao ni kama miezi miwili tu.
Yuko chuo na mimi pia nipo chuo.
Sasa kilichonifanya kuja kwenu, anadai natakiwa niwe ninampa pesa ya kusuka kila mwezi kiasi cha sh 20,000 taslimu.
Na akaongezea ya kuwa kama sitampa hiyo hela hakuna mapenzi kwa sababu, haiwezekani niwe namtumia tu alafu nisiwe ninampa hela.
Isitoshe yeye anao mkopo na mimi ninao mkopo.
Lakini mimi sikai ndani ya chuo nipo nje nimepanga, nikipiga gharama za kodi na michango mingine kiukweli sitaweza toka na chochote katika pesa hii ya Boom.
Maana najitahidi nisave angalau visent kadhaa ili nikirudi kitaa nipate pa kuanzia.
Nimemshauri kuhusu swala la kukaa wote ili angalau tusave walau kiasi fulani, ili hapo baadae tuweze anzisha hata kabiashara, kama ikishindikana kuanzisha pamoja bhasi, kila mtu ataanzisha mradi wake na kama tuna malengo ya kweli tutaweza fika mbali, ukizingatia sasa hivi ajira ni changamoto.
Sasa naombeni ushauri wenu wakuu, Je hapo mimi kama kijana, ninae soma na kutegemea wazazi
Natakiwa nitoe 20,000 kila mwezi, nikishindwa nimeambiwa kutakuwa hamna mapenzi. Yatabakia ya mdomoni tu na mwisho yatakufa kabisa.
Ushauri wenu wakuu katika hili.
Ndio mkuu, nilikua namsaidia baadhi ya mahitaji, sasa ameniambia sasa hivi niwe natoa 20,000 hata kama nikiwa likizo
Nilimuuliza Je?, kama nikishindwa kukupa hiyo 20,000, akaniambia hakuna mapenzi labda ya mdomoni tu.
Sawa mkuu, wacha nimuache tu aendelee na maisha yake
akimalizana nae amcheki na Kunguru wa Manzesemcheki MSELA WA MANZESE kwa ushauri zaidi
Hata C Programming nae huenda ana jambo la kuongezea.akimalizana nae amcheki na Kunguru wa Manzese
akishaongezwa amcheki na SivanHata C Programming nae huenda ana jambo la kuongezea.
Na huna hata elfu 20 ya kumpa mwanamke??? Bhasi tupo tofauti...Kudinya unadinya tu mzee, kama mwanaume rijali unadinya vizuri tu

Sasa kama bado mwanafunzi juu huna uwezo wa kupata 20,000/-Wakuu poleni na hongera katika shughuli zenu za hapa na pale
Sasa nimekuja kwenu, mnishauri mimi kama kijana wa kiume nisie na kazi na bado nawategemea wazazi kwa kuwa bado ninasoma
Iko hivi niko kwenye mahusiano na msichana kwa muda ambao ni kama miezi miwili tu.
Yuko chuo na mimi pia nipo chuo.
Sasa kilichonifanya kuja kwenu, anadai natakiwa niwe ninampa pesa ya kusuka kila mwezi kiasi cha sh 20,000 taslimu.
Na akaongezea ya kuwa kama sitampa hiyo hela hakuna mapenzi kwa sababu, haiwezekani niwe namtumia tu alafu nisiwe ninampa hela.
Isitoshe yeye anao mkopo na mimi ninao mkopo.
Lakini mimi sikai ndani ya chuo nipo nje nimepanga, nikipiga gharama za kodi na michango mingine kiukweli sitaweza toka na chochote katika pesa hii ya Boom.
Maana najitahidi nisave angalau visent kadhaa ili nikirudi kitaa nipate pa kuanzia.
Nimemshauri kuhusu swala la kukaa wote ili angalau tusave walau kiasi fulani, ili hapo baadae tuweze anzisha hata kabiashara, kama ikishindikana kuanzisha pamoja bhasi, kila mtu ataanzisha mradi wake na kama tuna malengo ya kweli tutaweza fika mbali, ukizingatia sasa hivi ajira ni changamoto.
Sasa naombeni ushauri wenu wakuu, Je hapo mimi kama kijana, ninae soma na kutegemea wazazi
Natakiwa nitoe 20,000 kila mwezi, nikishindwa nimeambiwa kutakuwa hamna mapenzi. Yatabakia ya mdomoni tu na mwisho yatakufa kabisa.
Ushauri wenu wakuu katika hili.
Wewe soma mpaka umalize utakuwa umekutana na warembo kumzidi yeye, soma kijana mapenzi yapo tuAcha nguvu zote nihamishe kwenye kitabu sasa na kusaka hizo pesa, simtafuti tena maana kasema "nisipompa hiyo hela hamna mapenzi"
Sasa soma mapenzi yatakuja, huenda tayari ana kabwana kengine huko!Kusoma mkuu
Zingatia hili: Usiwekeze kwa mwanamke, usiwekeze na mwanamke, Tumia kinga, usitengeneze mahusiano mpaka ukaitwa shemeji au marafiki zako wakamuita shemeji. Kila la heri.Sawa mkuu, nitafuata ushauri wako
Mimi mwanamke akishaanza kuomba hela ambazo najua siwezi kumpaa tena mara kwa maraa.. Huwaga Mzuka unakataa kabisaaa so relation zangu zinakufaga natural death sababu Mizingaaa ikizidi ni keroo na kama siwezi kumpa wapo wanaowezaa so tusiumizanw kichwaKila mwezi mkuu, hata kama nipo likizo
Kitu gani hiki cha kuomba ushauri?kwa hiyo unataka uwe unakula papuchi yake bure tu bila kugharamia?imekuwa sakrament ya ekaristi hiyo?Wakuu poleni na hongera katika shughuli zenu za hapa na pale