azariah davis
Member
- Oct 18, 2020
- 91
- 72
Akikubali mpange pamoja njoo tukushaur...cha kufanya Mkuu...
Soma, nikwambie kitu mapenzi ya mengi ya chuo huishia pale gatini, unawekeza muda, pesa akili mwishowe kila mtu anaenda kuoa/koelewa na mwingineAhsante mkuu, kwa ushauri
Eehe so wewe achana naee...!! Huna haja ya kuanza kumliliaa sijui sina helaa...mara nivumiliee atakuona boyaa tuDaah, Shukrani mkuu, najua huyu alikua ananitafutia sababu tu
Hela unazoo za kuhongaa boss..Mi natafuta hata wa kuniomba 50k kwa mwezi tu hiyo 20k naombwa Kila siku kwa mwezi haipungui laki 4 mpaka 5
Tuliza akili kwenye kitabu na Mungu wako !Sawa mkuu, naona ya kwetu yameshakufa pia
Bc...Mkuu...huyo si Baati yakoSitaki hata kukaa nae tena
Kilichokupeleka chuo n kusoma au mapenz?chagua 1...maana inaonekana uwezo wa kifedha n mdogo..la sivyo jiandae kuchapiwa tu!!Wakuu poleni na hongera katika shughuli zenu za hapa na pale
Sasa nimekuja kwenu, mnishauri mimi kama kijana wa kiume nisie na kazi na bado nawategemea wazazi kwa kuwa bado ninasoma
Iko hivi niko kwenye mahusiano na msichana kwa muda ambao ni kama miezi miwili tu.
Yuko chuo na mimi pia nipo chuo.
Sasa kilichonifanya kuja kwenu, anadai natakiwa niwe ninampa pesa ya kusuka kila mwezi kiasi cha sh 20,000 taslimu.
Na akaongezea ya kuwa kama sitampa hiyo hela hakuna mapenzi kwa sababu, haiwezekani niwe namtumia tu alafu nisiwe ninampa hela.
Isitoshe yeye anao mkopo na mimi ninao mkopo.
Lakini mimi sikai ndani ya chuo nipo nje nimepanga, nikipiga gharama za kodi na michango mingine kiukweli sitaweza toka na chochote katika pesa hii ya Boom.
Maana najitahidi nisave angalau visent kadhaa ili nikirudi kitaa nipate pa kuanzia.
Nimemshauri kuhusu swala la kukaa wote ili angalau tusave walau kiasi fulani, ili hapo baadae tuweze anzisha hata kabiashara, kama ikishindikana kuanzisha pamoja bhasi, kila mtu ataanzisha mradi wake na kama tuna malengo ya kweli tutaweza fika mbali, ukizingatia sasa hivi ajira ni changamoto.
Sasa naombeni ushauri wenu wakuu, Je hapo mimi kama kijana, ninae soma na kutegemea wazazi
Natakiwa nitoe 20,000 kila mwezi, nikishindwa nimeambiwa kutakuwa hamna mapenzi. Yatabakia ya mdomoni tu na mwisho yatakufa kabisa.
Ushauri wenu wakuu katika hili.
KWA HIYO UNATAKA UPIGE bure?Wakuu poleni na hongera katika shughuli zenu za hapa na pale