Anapumulia oxygen hospitali baada ya kuachwa

Anapumulia oxygen hospitali baada ya kuachwa

Heeee
Makubwa!
Kwahyo alikuwa anapima upepo!!

Bora ulimpotezea

Nilimpotezea na najua yeye ni binadamu itamsumbua coz kuna vitu kabla yakufanya unakuwa moto lakin baadae sana unaona kuna tatizo halafu inakuwa late.

Ingawa nilijisikia vbaya mpenz ukweli ndo huo lakin sasa hv nipo okey nataka nikapige yale mambo yetu siwajua wkend tena.
 
Kama kuna kukutana! Badi pia kuna kuachana! Sifanyi maandalizi ya ku-break, ila wakati ukifika nipo tayari kwa lolote!
 
mi ukiniambia ivyo nakujibu hata mi nlikua na mume!! Uko ni kujiendekeza, umezaliwa nae!! ntazima iwapo labda nlikua naishi kwa nguvu zke
 
Nilimpotezea na najua yeye ni binadamu itamsumbua coz kuna vitu kabla yakufanya unakuwa moto lakin baadae sana unaona kuna tatizo halafu inakuwa late.

Ingawa nilijisikia vbaya mpenz ukweli ndo huo lakin sasa hv nipo okey nataka nikapige yale mambo yetu siwajua wkend tena.

Hahahaa haaaa
Nakuaminia
raha jipe mwenyewe my dia

Btw ya Mungu mengi ukute umeepushwa na kitu kikubwa ni suala la muda tu!
 
Dada alikutwa chumbani kwake usiku wa kuamkia juzi akiwa amejidima kipande cha chupa ubavuni baada ya aliyekuwa mpenzi wake kumwambia yeye ni mchepuko.

Jamaa kumbe alikuwa na mke na watoto, wanaume kuweni wa kweli basi.

hatari sana hiiiii..mtu anaeza kufa kwa mshtuko ujue tumetofautiana mioyo ....ukute bidada alimuamini 100%
 
Dada alikutwa chumbani kwake usiku wa kuamkia juzi akiwa amejidima kipande cha chupa ubavuni baada ya aliyekuwa mpenzi wake kumwambia yeye ni mchepuko.

Jamaa kumbe alikuwa na mke na watoto, wanaume kuweni wa kweli basi.

maisha tu,yanatokeaga hayo
 
Kuachwa kuachwa!! Kuachwa ni shughuli pevuu!! aaa mbaya zaidi kwa yule unayempenda wewe unakonda yeye ananenepa kwa mawazo oo kwa mawazo oo♡♥

Hahaahaha...umenikumbusha mbali saanaaaaaaaaa
 
Heeenh alikua anampenda kuliko uhai wake?? Hatari jaman tujifunze kustahmili maumiv ya kuachwa kujiua sio suluhu
 
Back
Top Bottom