Anapumulia oxygen hospitali baada ya kuachwa

Anapumulia oxygen hospitali baada ya kuachwa

Ongea na mimi fasta. Kwa kawaida huwa nalionja kwanza ili nijue thamani yake kabla sijakukabidhi.

Ila kwa sababu meno yameanza kukuchomoka...ulaji wako utakuwa wa kiwango kidogo..
 
Inafikiz kipindi hata majirani zako wakaribu wanao kushauri vizuri kuhusu wewe na mpenzi wako unawaona wabaya, unawaona wafai muda mwingine unaweza fanya baya zaidi aaaaaanhh just singing
Kuachwa kuachwa!! Kuachwa ni shughuli pevuu!! aaa mbaya zaidi kwa yule unayempenda wewe unakonda yeye ananenepa kwa mawazo oo kwa mawazo oo♡♥
 
jana babu yako si akanifata...mimacho imemchomoka balaa

kwa taarifa yake hata akikasirika kitukuu lazima apate
Asprin usione hapa

Hahaha..wewe mbona unamrusha roho hivo
 
Last edited by a moderator:

my x Excel
mm pia nakumis sana
mengi tupo pamoja!!
 
Last edited by a moderator:
Haha.. Mapi wazee wanajua kulea hapo vijana mtangoja sanaa:sly::sly:
 
Last edited by a moderator:
kolekwa kobhi sana Mungu amponye na marafiki wajitahidi kumtia moyo akipata fahamu zake . Jamani hili gonjwa la kupenda baya usiombe likukumbe mbona utaona rangi zote.
 
miss strong [/QUOTE]
Pole sana
Ni watu wachache sana ambao huweza kugetout of that wisely mostly mtu anakua very disappointed na kutaka kuyachukua maisha yake
Kitu kimoja nilijifunza kwa rafiki yangu kwamba pindi utapo achwa au ukaacha mtu kwasababu alizosababisha huyo mpenzi then you have to try your best to prove him wrong and you have to go higher in all aspects of life apate kujua were and your a star you take the challenge and make the most out of it thats the best way to deal with it
 
Last edited by a moderator:
Haha.. Mapi wazee wanajua kulea hapo vijana mtangoja sanaa:sly::sly:

unataka kuniambia............

we dokta nini? mbona unang'ang'ania tena kutibu kisukari na presha? ujana wake alikula na nani, uzee aje akususie wewe??
 
unataka kuniambia............

we dokta nini? mbona unang'ang'ania tena kutibu kisukari na presha? ujana wake alikula na nani, uzee aje akususie wewe??

Sikukimbii bana...we ndo njia kuu
 
Pole sana
Ni watu wachache sana ambao huweza kugetout of that wisely mostly mtu anakua very disappointed na kutaka kuyachukua maisha yake
Kitu kimoja nilijifunza kwa rafiki yangu kwamba pindi utapo achwa au ukaacha mtu kwasababu alizosababisha huyo mpenzi then you have to try your best to prove him wrong and you have to go higher in all aspects of life apate kujua were and your a star you take the challenge and make the most out of it thats the best way to deal with it[/QUOTE]

Ni kweli my dear......huwezi amini jinsi nilivyo na amani moyoni.Nimemsahau within a minute.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli my dear......huwezi amini jinsi nilivyo na amani moyoni.Nimemsahau within a minute.

Hongera sana kwa kuwa na huo ujasiri unakua mfano pia katika jamii
I believe those memories still come but all in all even with that pain and tears in our eyes we need tl stand firm and move on
 
Back
Top Bottom