Anapumulia oxygen hospitali baada ya kuachwa

Anapumulia oxygen hospitali baada ya kuachwa

Ni vigumu sana mtu kutathmini maamuzi ya mtu "aliyevunjika moyo" huku wewe ukiwa "sober".

Depression ni mbaya sana... ombea tu isikukute
 
Hilo ni tatizo.....me nilitofautiana na mpenz wangu mwezi wa 12mwaka jana,Sio kama ilikuwa ugomv kivile but wivu tu katika mahusiano na vitu kama hvyo.

Lakini tukarekebisha na mambo yakaendelea...ilipofika mwaka huu mwezi wa 4 tukakwaruzana tena kwa kosa linalofanania na lile.Hapo nikaonesha msimamo its over though nampenda.

Akajaribu kunipliz nikarudisha moyo kiasi fulan lakin bado nilikuwa nafundo na mawasiliano yakafifia.

Huwezi amin jana nimeingia insta page yake nimekuta picha amefunga ndoa tar 27/9 mwaka huu.

Ikumbukwe katika mikwaruzano yetu sijawahi kuhisi wala yy kunionesha kuwa ana mwanamke.

mmmmmmhhhhhhh.....!!!!
etiiiiiii!!!!
pole sana mine
 
Mbona mwanaume akiachwa ni kama kumpiga chura teke inakuwaje kwa dada zangu wanaona ndio mwisho wa maisha wakati una baba, mama na ndugu zako ambao bado wanakupenda? Au ndo maana ya msemo mapenzi ni upofu
 
Tatizo sio miboo ila watu wanafikiria mengi muda,mazoea na kuanza upya mahusiano na mtu mwingine yaan kazi.

Umefika 100 then u turn to zero....kaz hapo

umeona eeeh mazoea ndo yanaumiza sana ukifikiria roho inauma sana pole mwaya
 
Back
Top Bottom