miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Jamani pole miss strong nna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na huyo mwanaume wanakaa mpaka usiku, wanasafiri wote kijana haoneshi dalili yoyote kuwa ana mtu pembeni siku ya siku sijui hata ilikuwaje akaingia facebook anakuta picha za harusi za yule kaka.mhh! kamuoa auditor na bibi harusi ndiye aligharamia nusu ya harusi yao kwa mujibu wa habari za kitaa
Sasa ndio ushangae mwanaume unakuwa nae masaa mengi zaidi ya mke halisi hata hashtuki Mungu atusaidie tuu kwakweli
na atusaidie kwa kweli