Kuachwa kuachwa!! Kuachwa ni shughuli pevuu!! aaa mbaya zaidi kwa yule unayempenda wewe unakonda yeye ananenepa kwa mawazo oo kwa mawazo oo♡♥
Huyo hajaachwa bali kasuswa...
Nani alimwambia agawe mbunye hovyo kabla ya kuolewa??
Hahaaa pole yake...
Ila kujiua ni maamuzi magumu na yenyewe
Magumu aiseeee....ila inauma usikie tu.
Inauma hasa...
Ukiwa na roho nyepesi ndio hivyo utataka kujiondoa duniani.....
Lol!,..Asante kwa somo, uongo mbaya nini kama ugali?!, next time mtu akileta ungese first thing I'll think about is ugali before making deadly decisions :angry:
Kwa mawazooo kwa mawazo......!!
Kuachwa ndo nife??......wakati kuna watu wananihitaji,roho ya subira ndo nguzo yangu.
Yaani ugali ulivyo.mtamu
Uuache kwa sababu ya binadamu mmoja????
Haiwezekani!!!!