mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Kuachwa ndo nife??......wakati kuna watu wananihitaji,roho ya subira ndo nguzo yangu.
Sawa kbs kama inavyosema ID yako kwan alozaliwa peke yake lazm ujipe subra na kusonga mbele
Kuachwa ndo nife??......wakati kuna watu wananihitaji,roho ya subira ndo nguzo yangu.
Mwenyewe unavoandika tuu inaonyesha zishapotea kitamboMmmh...wew huyo...??mim bado hajapotea
Mwenyewe unavoandika tuu inaonyesha zishapotea kitambo
Kino....ingawa nasikia nyingine ipo temeke kama sijakosea.
Kijua kipungue
Hapo ulipo tayari mahaba nipoteze