Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
ana dhambi kubwa sana ya kujibu endapo ataenda mbinguni, ila aya mapenzi ni kitu gani? na waimbaji wote kuimba bado tu, nyie kuna watu wana mapenzi ya tamthilia.
Yaani ugali ulivyo.mtamu
Uuache kwa sababu ya binadamu mmoja????
Haiwezekani!!!!
Inauma hasa...
Ukiwa na roho nyepesi ndio hivyo utataka kujiondoa duniani.....
Dada alikutwa chumbani kwake usiku wa kuamkia juzi akiwa amejidima kipande cha chupa ubavuni baada ya aliyekuwa mpenzi wake kumwambia yeye ni mchepuko.
Jamaa kumbe alikuwa na mke na watoto, wanaume kuweni wa kweli basi.
Umeonaeeee!
Ya nini kumpa mtu kichwa ajione kama ndio mwanaume peke yake in this world. Cha muhimu subira tu na siku zote subira yavuta kheri.
Hahaaa pole yake...
Ila kujiua ni maamuzi magumu na yenyewe
Kweli Heaven on Earth
Kuna watu wanajua kupenda hasa....Ndio maana wanawake baadae wanakuwa manunda sababu ya kutendwa hivyo..
Wanaume husababisha wenyewe....
Wanaosema hawawezi kujiua hayajawakuta au hawajawahi kupenda...Lililomkuta mwenzio usiombe likukute sababu hujui utalichukuliaje..
Kuachwa ndo nife??......wakati kuna watu wananihitaji,roho ya subira ndo nguzo yangu.
Huyo hajaachwa bali kasuswa...
Nani alimwambia agawe mbunye hovyo kabla ya kuolewa??
Nimekupenda miss strong
Hapa ndio sehemu wanawake na wanaume wenzangu hunipa wkt mgumu: mbn kuna magumu mengi km wanadamu huwa tunapitia na bado tunasimama, tunasonga mbele!
Kwa nini hili la mapenzi ndio liwe la kukutoa roho! Kwa haya hp chini sio magumu! Haya hayaumizi?
1. Kufeli masomo
2. Kuugua ama kuuguliwa
3. Kufiwa na mzazi
4. Ajali
5. Kusalitiwa na rfk ama ndg mlieshibana
6. Kufukuzwa kazi
7. Kudhulumiwa mali
8. Kufilisika ktk biashara
9. Kutapeliwa
10. Kukwamishwa ktk namna yyt ile isipokuwa mapenzi!
Naomba mnieleweshe, kwa nini kuna visa vingi vya watu kufanya "suicide attempts" sababu ikiwa MAPENZI kuliko hayo hapo juu!
Kwa nini tumekuwa wepesi kuzikabili changamoto Na. 1-10 kwa njia bora, lkn si MAPENZI!
Khaa mbona miboo ipo kibao tu mitaani!
ana dhambi kubwa sana ya kujibu endapo ataenda mbinguni, ila aya mapenzi ni kitu gani? na waimbaji wote kuimba bado tu, nyie kuna watu wana mapenzi ya tamthilia.
tena za kila size
Khaa mbona miboo ipo kibao tu mitaani!
Sasa je....Si ndo unapata mda wa explore!
sometimes we need to start again in order to fly... usiogope kuanza ogopa sana kushindwa (kukata tamaa) unakuwa huna tofauti na mfu........Tatizo sio miboo ila watu wanafikiria mengi muda,mazoea na kuanza upya mahusiano na mtu mwingine yaan kazi.
Umefika 100 then u turn to zero....kaz hapo