Anapumulia oxygen hospitali baada ya kuachwa

Anapumulia oxygen hospitali baada ya kuachwa

Jamani pole miss strong nna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na huyo mwanaume wanakaa mpaka usiku, wanasafiri wote kijana haoneshi dalili yoyote kuwa ana mtu pembeni siku ya siku sijui hata ilikuwaje akaingia facebook anakuta picha za harusi za yule kaka.mhh! kamuoa auditor na bibi harusi ndiye aligharamia nusu ya harusi yao kwa mujibu wa habari za kitaa
Sasa ndio ushangae mwanaume unakuwa nae masaa mengi zaidi ya mke halisi hata hashtuki Mungu atusaidie tuu kwakweli
 
Last edited by a moderator:
Kweli Heaven on Earth
Kuna watu wanajua kupenda hasa....Ndio maana wanawake baadae wanakuwa manunda sababu ya kutendwa hivyo..
Wanaume husababisha wenyewe....
Wanaosema hawawezi kujiua hayajawakuta au hawajawahi kupenda...Lililomkuta mwenzio usiombe likukute sababu hujui utalichukuliaje..

Have you passed throught it bibie?
 
Tatizo sio miboo ila watu wanafikiria mengi muda,mazoea na kuanza upya mahusiano na mtu mwingine yaan kazi.

Umefika 100 then u turn to zero....kaz hapo

Hiyo miboo ni lugha tu ya picha, ujumbe ni: there are plenty of men/ladies out there, why should you attempt to kill urself? Kuanza zero sio ujinga wala dhambi ilimradi unaanza zero kwenye foundation bora na inayokuridhisha. Ukifika 100 kwenye foundation mbovu (mfano mume wa mtu) suala sio uwezekano wa kuanguka na kuanza zero, bali ni lini utaanguka na kuanza zero. It's a matter of time lakini kuanguka ni given.
 
Alifikiria kuwa huyo mwanaume ndo baba yake mpaka ashindwe kumwacha?
 
Hilo ni tatizo.....me nilitofautiana na mpenz wangu mwezi wa 12mwaka jana,Sio kama ilikuwa ugomv kivile but wivu tu katika mahusiano na vitu kama hvyo.

Lakini tukarekebisha na mambo yakaendelea...ilipofika mwaka huu mwezi wa 4 tukakwaruzana tena kwa kosa linalofanania na lile.Hapo nikaonesha msimamo its over though nampenda.

Akajaribu kunipliz nikarudisha moyo kiasi fulan lakin bado nilikuwa nafundo na mawasiliano yakafifia.

Huwezi amin jana nimeingia insta page yake nimekuta picha amefunga ndoa tar 27/9 mwaka huu.

Ikumbukwe katika mikwaruzano yetu sijawahi kuhisi wala yy kunionesha kuwa ana mwanamke.

Aiseee...nimejifunza kitu hapo..asante
 
sometimes we need to start again in order to fly... usiogope kuanza ogopa sana kushindwa (kukata tamaa) unakuwa huna tofauti na mfu........

We differ.....katika kuhandle haya mambo.Mtu akikupiga halafu ukalia anajua fimbo zimemkolea lakini kuna watu wanapigwa anaumia lakin halii.

Sasa kwa upande wangu kuanza upya si ujinga as long as ni mwanamke nayejiamini,hardworker na vitu kama hvyo.

Tatizo baadhi yetu wanawake tunakuwa na alot of expectation kutoka kwa hawa wanaume na unaanza kuimagine vitu vitakavyokuwa,mwishowe kujidhulu na mengineo yanaweza tokea.
 
Hiyo miboo ni lugha tu ya picha, ujumbe ni: there are plenty of men/ladies out there, why should you attempt to kill urself? Kuanza zero sio ujinga wala dhambi ilimradi unaanza zero kwenye foundation bora na inayokuridhisha. Ukifika 100 kwenye foundation mbovu (mfano mume wa mtu) suala sio uwezekano wa kuanguka na kuanza zero, bali ni lini utaanguka na kuanza zero. It's a matter of time lakini kuanguka ni given.

Am agree ...lakini ikumbukwe kuwa tunatofautiana.Mnapokuwa wapenzi kuna kuzoeana na mnashare alot of things hata mambo ya baadae sana.

Unapokuwa unatatizo anakupliz na unajikuta unaanza upya kwa uzuri.Yaan mwanaume anakuwa kama nguvu yako katika mambo mbalimbali,ghafla anakuacha kwasababu ambazo ukute hazina nguvu ukilinganisha na gharama mlizotumia kulijenga penzi inauma.

Kwa wenye moyo dhaifu anaweza fikia huko.
 
Jamani pole miss strong nna rafiki yangu alikuwa na mahusiano na huyo mwanaume wanakaa mpaka usiku, wanasafiri wote kijana haoneshi dalili yoyote kuwa ana mtu pembeni siku ya siku sijui hata ilikuwaje akaingia facebook anakuta picha za harusi za yule kaka.mhh! kamuoa auditor na bibi harusi ndiye aligharamia nusu ya harusi yao kwa mujibu wa habari za kitaa
Sasa ndio ushangae mwanaume unakuwa nae masaa mengi zaidi ya mke halisi hata hashtuki Mungu atusaidie tuu kwakweli

Ni ngumu sana.....lakini nipo tofauti sana huwezi amini kipind cha mikwaruzano nilijianda kipyschology sana na imenisaidia.

Imeniumiza jana but nimeamka na tumaini jipya
 
Last edited by a moderator:
We differ.....katika kuhandle haya mambo.Mtu akikupiga halafu ukalia anajua fimbo zimemkolea lakini kuna watu wanapigwa anaumia lakin halii.

Sasa kwa upande wangu kuanza upya si ujinga as long as ni mwanamke nayejiamini,hardworker na vitu kama hvyo.

Tatizo baadhi yetu wanawake tunakuwa na alot of expectation kutoka kwa hawa wanaume na unaanza kuimagine vitu vitakavyokuwa,mwishowe kujidhulu na mengineo yanaweza tokea.

aisee ukiwa na mwanaume ni sawa na kuwa na bidhaa ya kichana mda wowote inakufa..... au kama umebahatika ukapata nzuri itadumu...
 
Back
Top Bottom