Dalili za umalayanismNaombeni ushauri wadau.
Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,
kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.
Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.
Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.
Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Wewe unatoaga!Mpe laini pendwa ya mtandao pendwa hata ww utapata raza tofati fata ushauli hutakuja kujutia[emoji848][emoji848][emoji848]
Akili zako Kwa kauli hiyo uliyosema nimeziona hazina tofauti na akili za LemutuzCcm ndo inakufanya wewe upate hata hela ha bundle acha mashauzi
Biblia inasema linda moyo wako kuliko ulindavyo vitu vingine, maana huko ndiko zitokako chem chem za uzima.Asante
Usimwache mvumilie tu, kama una hamu na madushe mapya we nenda liwa fresh kisha rudi home kauka.Naombeni ushauri wadau.
Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,
kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.
Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.
Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.
Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Njoo jaribu dushe languNaombeni ushauri wadau.

Kwa hili figa lzm na mm nikupe kila kitu.Doh!! Hatari
Nyie ndio mnatakiwa kubirianiwa tu maana hamna namnaNaombeni ushauri wadau.

Upo weye..