Ananipenda kwa dhati kila nitakacho napata lkn..

Ananipenda kwa dhati kila nitakacho napata lkn..

Unawea kutom kimya kimya ukapiga mechi za nje kwani si ndo zenu
Naombeni ushauri wadau.

Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,

kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.

Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.

Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.

Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
 
We sema tu unatoa fursaa kwa vibenten

Changamsha genge huyu
Bado nafanya upembuzi yakinifu... Hii ilikuwa Nov 2018

[quote uid=390483 name="APEFACE" post=29070684]Umeolewa????
Niliolewa nikaachika

Nina miaka 32 sijui wala sikumbuki bikra yangu ilitoka lini wala sijui kwann ilitoka
[/QUOTE]
 
Changamsha genge huyuNiliolewa nikaachika

Nina miaka 32 sijui wala sikumbuki bikra yangu ilitoka lini wala sijui kwann ilitoka
[/QUOTE]Ukimaliza niambie
 
Kuna kipindi kwenye mapenzi unajikuta unamkinai mwenzako huna hamu naye akikusemesha kidogo unaksirika iyoo inatokeaga na hutokea sana sana pale mwenzako anapoonesha mapenzi kupitiliza alafu unakuta kunamtu unachati naye anakunyegesha hisia zote zipo kwake inatokeaga ila rudisha upendo wako kwake jambo lolote linaanza kwenye fikra ukikubali fikra izo bc zitakutawala na hutapata hisia juu yake Bali kwa Yule anayekunyegesha rudisha upendo chati naye tamani penzi lake tena upendo utarudi mm inanitokeaga iyoo lkni nakumbuka upendo mwingi juu yake nikirudi nawaza mahaba gani nimpe hisia zote zinarudii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom