Ananipenda kwa dhati kila nitakacho napata lkn..

Ananipenda kwa dhati kila nitakacho napata lkn..

You will realize the goodness of his love when he has gone,hii ni shida ya kutokumshirikisha Mungu kwenye ndoa,yaani unaindesha ndoa kwa kile unachokiwaza,hapa usitegemee muujiza ni lazima ndoa isambaratike,kwasababu shetani anatafuta na kuwapenda sana watu kama nyinyi,what is dushe by the way?acha umapepe,hilo dushe huko nje utalipata lakini hutapata muoaji.........
Let him go bhana ....nn kupeana joto bila sababu
 
unafikiri tutakushauri kufanyakufanya unachofikiria......endelea tuu...omba talaka mbwiga wewe.....huna hisia unabana nafasi za wengine hapo....
 
Bado nafanya upembuzi yakinifu... Hii ilikuwa Nov 2018

[quote uid=390483 name="APEFACE" post=29070684]Umeolewa????
Niliolewa nikaachika

Nina miaka 32 sijui wala sikumbuki bikra yangu ilitoka lini wala sijui kwann ilitoka
[/QUOTE]Asante kwa kufukua makaburi ya huyu mpumbavu wa Lumumba
 
Niliolewa nikaachika

Nina miaka 32 sijui wala sikumbuki bikra yangu ilitoka lini wala sijui kwann ilitoka
Asante kwa kufukua makaburi ya huyu mpumbavu wa Lumumb

.a[/QUOTE]

Mpumbavu mama yako aliyeza shoga. Hahahaaa! Nyie ndo mnafanya wadada wasiolewe dume zima linauza mkund....u
 
Naombeni ushauri wadau.
Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,
kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.
Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.
Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.
Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Achana naye utapata anayekupenda. Kabla haujamuacha fanya research kwa wanawake wenzako kwanza. Hakuna kitu kigumu kama mahusiano. Utamuacha lakini itafika kipindi utampenda sana na kurudi kwake itakuwa ngumu.
 
Naombeni ushauri wadau.

Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,

kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.

Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.

Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.

Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Acha tamaa
 
Una mimba wew tena ya mtoto wa kiume
 
wakati wengine tunatamani kuwapata wataotupenda, kutujali na kutulia... wengine wanawaona kichefu chefu!!

eeh Mungu, mwepushe huyo kaka na hiki kikombe cha kuumizwa na kutendwa bila hatia maana hakimstahili kabisa

dada mtoa mada, utakuja lia na kusaga meno
 
Jamaa kiba100 nn
Kuwajua wanawake ni ngumu sana. Kama haujawahi kuishi na mwanamke au kuoa huwezi kuyaelewa haya mambo. Ushajiuliza kwanini mwanamke akipata mimba anakuchukia? Hawa viumbe huwa huwa ukifika muda wao huwa hataki kuwa na wewe na hana hisia kabisa na ww. Ukimuliza sababu hana ila anataka tu muachane.
Mkiachana,inaweza kupita hata miaka 2 au 3 utasikia anakutafuta tena kwa mapenzi moto moto mpaka unashangaa. Ndiyo hivyo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
 
Kuna memba mmoja alisema WANAWAKE WAACHE KAMA WALIVYO

1 angekua hana kitu ungeandika mume wangu hafanyi kazi
2 asingekutunza ungesema mume hanitunzi nifanyaje
3... Au angekua na michepuko ungeanzisha uziii pia
4.....
5......

Heeeh mama unataka nin!?
 
Asante kwa kufukua makaburi ya huyu mpumbavu wa Lumumb

.a

Mpumbavu mama yako aliyeza shoga. Hahahaaa! Nyie ndo mnafanya wadada wasiolewe dume zima linauza mkund....u[/QUOTE]Threads zako ninakutukana mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom