Golden chance never come twice!
Kila la kheri...
...na mnalala kitanda kimoja kila siku. Mungu atulinde Wanaume/wababa wote na pia atuepushe na hila mbaya na ovu dhidi yetu na familia zetu.kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.
Yani hii ni hatari aisee......na mnalala kitanda kimoja kila siku. Mungu atulinde Wanaume/wababa wote na pia atuepushe na hila mbaya na ovu dhidi yetu na familia zetu.
Naombeni ushauri wadau.
Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,
kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.
Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.
Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.
Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Wee endelea tu ukipata unachokitafuta usirudi kuomba ushauri
Mwenza nakuaminia ujue!! Hebu toa ushauri mama.Mwenza nilitaka niseme kitu lakini nimeghairi...ntakula popcorn tuu
Mwenza nilitaka niseme kitu lakini nimeghairi...ntakuka popcorn tuuHaya kumekucha tena, watoa ushauri plz comments ziwe fuoi fupiView attachment 1124867
Hivi unajua bisi za leo tamm sanaaa mwenza???😋😋Mwenza nakuaminia ujue!! Hebu toa ushauri mama.
We hebu tutake radhi, wenye mapenzi ya dhati tupo tumejaa tele!Thats why sijawahi kuwa serious na wanawake !
Just hitting and runing
Mapenzi upumbavu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenza nilitaka niseme kitu lakini nimeghairi...ntakuka popcorn tuu
Hivi unajua bisi za leo tamm sanaaa mwenza???[emoji39][emoji39]
Naombeni ushauri wadau.
Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,
kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.
Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.
Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.
Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Juice ya tunda la mti wa kati mwenza...auu?? Sio kwa elfu5 hiyo chaaa😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenza nauza na juice, lete elfu5 uchukue juice.
Teh nataniaWe hebu tutake radhi, wenye mapenzi ya dhati tupo tumejaa tele!
Charity starts at home mwenza, tunakuza uchumi wa nyumba[emoji1787][emoji1787]Juice ya tunda la mti wa kati mwenza...auu?? Sio kwa elfu5 hiyo chaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh natania
Haya wewe chukua moja husband nae moja...nakuja kulipa cash,.niko njiani eee😂😂Charity starts at home mwenza, tunakuza uchumi wa nyumba[emoji1787][emoji1787]
Niliolewa nikaachikaBado nafanya upembuzi yakinifu... Hii ilikuwa Nov 2018
![]()
Nipo online niulize chochote kuhusu mimi
Kama kichwa kinavyojieleza. Niulize chchte kuhusu mimi ..karibuniwww.jamiiforums.com
[quote uid=390483 name="APEFACE" post=29070684]Umeolewa????