Ananipenda kwa dhati kila nitakacho napata lkn..

Ananipenda kwa dhati kila nitakacho napata lkn..

Naomba kuuliza tu nijue...
Jamaa Huwa ukiwa nae Huwa unamuonyesha upendo na anahisi unampenda?
 
"Mh. Rais sikutegemea heshima hii toka kwako, mimi ni nani? nimezaliwa kijiji cha vumbi, nimeishi maisha ya ufukara na baada ya kustaafu sikutegemea nitakuwa hapa lakini wewe na Mungu wako mnajua kwanini mmenitoa jalalani na kunifikisha hapa"

Jiunge na chama la wapumbavu. Uliolewa kwa tamaa ya mali. Sasa ku fake kumefika mwisho
 
Natamani kua spare tyre ila nafsi inanisuta


 
Kwani mme wako ni kondakta au Mvuvi??
tapatalk_1558070959937.jpeg
 


millardayo

@millardayo

· Jun 10

"Mh. Rais sikutegemea heshima hii toka kwako, mimi ni nani? nimezaliwa kijiji cha vumbi, nimeishi maisha ya ufukara na baada ya kustaafu sikutegemea nitakuwa hapa lakini wewe na Mungu wako mnajua kwanini mmenitoa jalalani na kunifikisha hapa"

Jiunge na chama la wapumbavu. Uliolewa kwa tamaa ya mali. Sasa ku fake kumefika mwisho
Hahhahahahaaa
 
Mpe laini pendwa ya mtandao pendwa hata ww utapata raza tofati fata ushauli hutakuja kujutia[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Naombeni ushauri wadau.

Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,

kila ninachotaka napewa lkn moyo wangu haumpendi kbsa nipo nae tu kwasbb mwanzo nilikuwa nampenda lkn kwa sasa upendo haupo kabsa, yaani nikimuona tu najisikia kuchefuka.

Naona kama bado sijapata mtu sahihi yaani Nina hamu na dushe jipya.

Nahofia nisije achwa halafu nikakosa ninakodhani nitapata.

Ushauri wenu plz mapenzi ni hisia kwa huyu ndugu kwasasa hisia ni zero nifanyaje?
Mmh wanawake bwana hamna shukrani basi tafuta mchepuko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom