PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,996
- 2,017
Ndo nauliza mtu anapewa simple plan kama hiyo anashindwaje kuifuata?It is just simple if you take it simple man.
Kunakuwa na trash la nguo ambazo ukizivua na huna mpango wa kuzirudia kabla ya kufua unaweka, kunakuwa na beseni la vyombo vilivyomaliza kutumika ili vioshwe kwa pamoja, so ni either ulie mezani uache hapo au ulie kwingine ukimaliza kula weka sahani/chombo mezani au kwenye beseni husika, mtu wa kuosha anabeba kwenda kuosha.
Ni simple sana mkuu.