Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
[emoji41] haya tuma CV fasta.Ndo nshawahi foleni ya kufua soksi hivyo hahahahaaaa
[emoji41] haya tuma CV fasta.Ndo nshawahi foleni ya kufua soksi hivyo hahahahaaaa
[emoji41] haya tuma CV fasta.
Haha. Unawapa wenzio mbinu badala ta kutuma CV. Shauri yako.Nnafua na kupiga pasi zaidi ya dobi
Nna uwezo wa kupiga deki mpaka sakafu inageuka kioo
Nna mapishi zaidi ya mpishi wa ikulu
Hahahaaaaaaaa
Heeeeeehhh unaweza ukawa Hu notice kuwa hakupo pouwa just bcoz unapumzika hapo....!!!
Me nna rafiki yangu alikuwa na kademu kazuriiii ila sasa!!!!.....kachafuuuu hatarii, yani kwake kuoga mbindeee!!! Kananuka jasho, mdomo kwake kuchafuuu....
Ila mshkaji anavumilia tu!!! alivokuja kumuacha eti ndo anagundua kuwa kuwa kademu Kananuka khaaaa!!!
Hahahaaaaa hujanipa p.o.box mkuuHaha. Unawapa wenzio mbinu badala ta kutuma CV. Shauri yako.
Kwani we ni mgeni kwenye hizi burbs eh? Kila nyumba ina mail box.Hahahaaaaa hujanipa p.o.box mkuu
Kabla sijaoa soksi zilikuwa zinapotea sana, unakuta nikivua viatu nje soksi naingia nazo ndani! Sasa unakuta asubuhi unataka kwenda job unaona moja ya pair hii haipo na ya pair nyingine haipo inabidi utinge soksi tofauti, dawa yake nilikuwa nanunua soksi nyingi zinazokaribia kufanana ili hata nikivaa tofauti hakuna shida.
atamuoaje mtu mchafu?? ukichunguza sana hapo ni kwamba jamaa anabaki kwa ajili ya shida tu ya kiu... hana access na better options
Hebu imagine unakua na nguo chafu halafu unaweka kabatini?? does that make sense?
Kuna kipindi maalumu cha kuwa kwenye mahusiano?
Almost 5 years sasa niko kwenye relationship na dada mmoja, sawa kila binadamu ana mapungufu ila kiukweli hakuna kitu sipendi kama mtu kua disorganized hio ni sifa nambari 1 kwangu itayo fanya hata uwe mdogo wangu wa damu chumbani kwangu ntaku timua haraka sana. Napenda sana usafi, napenda kukaa au kutumia vitu vyenye usafi wa hali ya juu doa moja tu niki liona huwa nakata tamaa haraka sana.
Sasa basi huyu dada bwana yuko sooo disorganized yani, mara ukute vitu vime rushwa rushwa tu, nguo chafu zina kaa muda mrefu kwenye tenga, wakati mwingine akisha vaa nguo na jasho lote ana kunja ana rudisha kabatini, kama haitoshi hata mikoba yake tu ina vumbi usi ongelee viatu sasa.
Nilisha jitahidi sana kumwambia "bwana mimi hii tabia yau shagalabagala sipendi kwanini usifute vitu vyako vikae katika hali ya usafi una onekana kuto kujali hata vitu vyako ulivyo nunua kwa pesa yako?! "Na mengine kede wa kede.
Wadau pengine kuna njia mbadala ambayo inaweza saidia em tushirikishane hapa huwezi jua utakuja kutana na dada wa aina hio mbeleni na majibu ya uzi huu yaka kusaidia.
Nawasilisha bandugu!
wasichana wa siku hizi wanamsumbua Mungu kumuomba kuolewa wakati wao ndio sababu kuu,kwa jinsi hii kuolewa itakuwa shida sanaHahahahahhaaaa mbav zang ivi hawa wanawake mnavowazalilisha hapa jukwaani ni wa hapa tz au maana naona mapya majan uwiiiii
atamuoaje mtu mchafu?? ukichunguza sana hapo ni kwamba jamaa anabaki kwa ajili ya shida tu ya kiu... hana access na better options
Hebu imagine unakua na nguo chafu halafu unaweka kabatini?? does that make sense?
umeshachukua hatua ya kumwelekeza kwa staha? kama bado jaribu hivyo kisha sikilizia uone b?ada ya Siku kadhaa!
Aisee.... yaani nilivyoona hii thread yako nimejikumbuka mimi. Yaani niko disorganised to the highest degree aisee!!! Nakumbuka nilivyokuwa nimeanza uhusiano na wife(kabla ya kuoana) alilalamika sana kuhusu hii ishu!! Maana wife anapenda sana organisation!! Mwisho wa siku nahisi aligundua kuongea sana haisaidii, tunaishia kugombana tuu; Akaanza kufanya kwa vitendo kujaribu kuweka order kila akikuta vitu viko hovyo hovyo!!
Nadhani ni zaidi ya tabia aisee, ni kitu fulani kama kinakuwa kwenye vinasaba hivi(genes); Ni ngumu sana kumbadilisha mtu wa hivi!! Mimi hata wife kipindi hicho hatujaoana alikuwa akilalamika kwanza yaani namshangaa yeye, kwamba huyu nae vipi?? Mbona ana mind vitu vidogo vidogo hivi?
Yaani mimi hata ukiniuliza my favourite colour; Sijui niseme sina au sijui!!!I just do not give a shit about vitu vimekaaje, vina rangi gani, vinatakiwa vikae vipi!! Hata wife anaweza akabadilisha order ya kupanga vitu sebuleni au chumbani; Na ikapita hata wiki nzima nisigundue hadi wife anishtue!!!!!!!
Unachotakiwa kufanya ni kujua kuwa hiyo ndiyo tabia ya mwenzi wako; Na kutafuta njia za jinsi ya kuishi nae in a way kwamba wewe utakuwa hukasiriki!! Otherwise bro kujipa moyo kwamba utambadilisha, ni kazi ngumu na ya muda mrefu, na unaweza ku end up with disappointment. bbwaoy The Boss Evelyn Salt
huyo mwenzio huenda ana stress kwa hiyo kuna vitu ameamua kutokujali. Taka kujua kinachomsumbua badala ya kung'ang'ania abadillike. badilika wewe. kutaka kumbadilisha mtu mzima ni kutafuta mafarakano yasiyo ya lazima. umesema unataka umbadilishe mpaka akukumbuke kwenye historia kuwa uliwahi kumbaadilisha. hii ni dalili ya mojawapo ya personality disorders (sorry to say).Yes was clean before... changes zime anza just recently
huyo mwenzio huenda ana stress kwa hiyo kuna vitu ameamua kutokujali. Taka kujua kinachomsumbua badala ya kung'ang'ania abadillike. badilika wewe. kutaka kumbadilisha mtu mzima ni kutafuta mafarakano yasiyo ya lazima. umesema unataka umbadilishe mpaka akukumbuke kwenye historia kuwa uliwahi kumbaadilisha. hii ni dalili ya mojawapo ya personality disorders (sorry to say).Yes was clean before... changes zime anza just recently