Ananikera hiki kitabia cha shagalabagala

Ananikera hiki kitabia cha shagalabagala

huyo alikuwa kiboko nilivumilia ila nikachemsha alafu ukimuona nje msafi nguo kali kumbe wapi

Ila malezi pia yanachangia 100% hakuwa na malezi mazur kuhusu usafi uyo na wengne ni kujiendekeza tu na uvivu
 
kwani mnaishi naye nyumba moja?
je kasoro yake ni hiyo tu au kuna nyingine...

huyo ni mvivu, ogopa sana mwanamke mvivu.. mwambie ni jinsi gani unavyoichukia hiyo tabia akiwa mgumu kubadilika piga chini wasafi wapo wengi tu.
 
Ha ha ha, love zone JF itakupa michepuko mkuu! Maana utapata PMs utashindwa uchague ipi uache ipi.

Nakupa odd ya 1.16 kupata wife huku.
Hahaha. Nitaweka masharti magumu kiasi. Lazima awe na qualified certificate na experience kwenye sock management and interior organizing. Lazima amjue The Mamba ni nani. Awe na taste for lame jokes and stupidity.

Kwa masharti hayo na mengine kadhaa, sidhani kama nitakuwa na changamoto hiyo ya kujaziwa PM.
 
Umenifanya nicheke sana, yaani haya masharti yatakuwa magumu balaa, pamoja na masharti yako watu watatuma maombi bila hata vigezo.

Umeshaona tangazo la kazi linataka mtu mwenye Degree lakini mtu wa Diploma anatest kutuma vyeti.

BTW, nimeona Khloe kampiga chini James Harden kurudi kwa Odom, sina uhakika na hii habari sana, ni za kwenye blogs.
 
Haya ndo mahusiano yanayodumu miaka na Miaka ila Mkiingia kwenye Ndoa Miezi tu mmeachana...

Huyo Akiingia kwenye Ndoa Tegemea Mengine zaidi ... Akishajifungua utamkimbia
Ni kweli kabisa...wakishafunga ndoa..mchezo kwishney
 
Umenifanya nicheke sana, yaani haya masharti yatakuwa magumu balaa, pamoja na masharti yako watu watatuma maombi bila hata vigezo.

Umeshaona tangazo la kazi linataka mtu mwenye Degree lakini mtu wa Diploma anatest kutuma vyeti.

BTW, nimeona Khloe kampiga chini James Harden kurudi kwa Odom, sina uhakika na hii habari sana, ni za kwenye blogs.
Haha. I know. Watu wako determined aisee.

Katika watu ambao nimeamua kutojua chochote kinachowahusu ni hao kar-hoe-shians. Niliiona jana TMZ, nikamsikitikia tu JH.
 
Haha. I know. Watu wako determined aisee.

Katika watu ambao nimeamua kutojua chochote kinachowahusu ni hao kar-hoe-shians. Niliiona jana TMZ, nikamsikitikia tu JH.

Day 1 kujua JH kaingia kule nilimsikitikia jamaa kinoma, ila kama akipigwa chini itakuwa vizuri for his career! Otherwise that relationship will ruin his career.
 
Day 1 kujua JH kaingia kule nilimsikitikia jamaa kinoma, ila kama akipigwa chini itakuwa vizuri for his career! Otherwise that relationship will ruin his career.

I hope so too. Ye aendelee kudunda na kufuga ndevu tu. Haya mambo ya mahusiano atuachie MMU.
 
I hope so too. Ye aendelee kudunda na kufuga ndevu tu. Haya mambo ya mahusiano atuachie MMU.

Ila hajatoka bure, kwa sababu Adidas walifanya consideration ya huu uhusiano kabla ya kumpa mkataba mpya.

Wali assume jamaa atakuwa Celebrity nje ya game kwa sababu ya kutoka na huyu demu, so in a way amegain.
 
Baadae ilifikia yeye mwenyewe ndo inabidi ajue nimeweka wapi ili apeleke mahali husika na maisha yanaendelea vizuri baada ya kuzoeana.

Umewekewa sehemu ya nguo chafu na vyombo vichafu uweke.
Seriously, seriously how hard can that be?
 
Vutabu vya dini vinasema "Ntakupati msaidiz wa kyfanana nae"
Huyo sio wako mkuu piga goti...
 
Umewekewa sehemu ya nguo chafu na vyombo vichafu uweke.
Seriously, seriously how hard can that be?

It is just simple if you take it simple man.

Kunakuwa na trash la nguo ambazo ukizivua na huna mpango wa kuzirudia kabla ya kufua unaweka, kunakuwa na beseni la vyombo vilivyomaliza kutumika ili vioshwe kwa pamoja, so ni either ulie mezani uache hapo au ulie kwingine ukimaliza kula weka sahani/chombo mezani au kwenye beseni husika, mtu wa kuosha anabeba kwenda kuosha.

Ni simple sana mkuu.
 
Usafi ni tabia na hurka ya mtu kwa sababu mwanadamu maisha yake
yana athiriwa na mambo makuu 2.
1. Nature .
2. Nurture.
sasa huyo demu wako kaathiriwa na nature ingawa wewe
unajitahidi sana kutumia Nurture kum-shape aendane na matakwa yako
ingawa tafiti nyingi zimeonesha kuwa hakuna kinachoweza m -control
mwenzake kwa asilimia 100.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom