Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,311
- 170,220
Miaka mitano yote yupo hivo au kaanza juzi
Hata mimi nilitaka sema hivyo nikaogopa kuambiwa mkabila ila wahaya na wagogo mmmh
Mkuu pole!
Mnaishi pamoja?
Kabla ya hapo mlikuwa hamtembeleani ili kujua ndani kwake yuko vipi?
Nguo zikaa mda mrefu kwamba hata jmosi au Jpili hafui?
Ukimchunguza sana bata hutomla! Kama ktk vyote unavovitaka shida ni hicho tu basi mvumilie ukijua hakuna binadamu aliyekamilika ! Ukiona hajanya wewe fanya mwisho atajistukia na ataweza fanya mwenyewe! Ila uoaneni sasa! !
Kabila hilo ndvyo walivyo, hapo usihangike hata kutafuta ushauri chagua moja kuvumilia tabia hiyo au kupiga chini mzigo.
Tuna tembeleana, yeye mwenyewe anajua jinsi nilivyo msafi kwaio akija kwangu anakuta vitu viko kwenye mpangilio mpaka ana duwaa, mpaka majaaliwa kuoana
Zamani alikua kama ana jijali hivi mpaka niki muona namtamani yani... muda wote alikua smart kwake niki enda kusafi... yeye mwenyewe msafi ila ghafla nikaona kama mabadiliko.
Almost 5 years sasa niko kwenye relationship na dada mmoja, sawa kila binadamu ana mapungufu ila kiukweli hakuna kitu sipendi kama mtu kua disorganized hio ni sifa nambari 1 kwangu itayo fanya hata uwe mdogo wangu wa damu chumbani kwangu ntaku timua haraka sana. Napenda sana usafi, napenda kukaa au kutumia vitu vyenye usafi wa hali ya juu doa moja tu niki liona huwa nakata tamaa haraka sana.
Sasa basi huyu dada bwana yuko sooo disorganized yani, mara ukute vitu vime rushwa rushwa tu, nguo chafu zina kaa muda mrefu kwenye tenga, wakati mwingine akisha vaa nguo na jasho lote ana kunja ana rudisha kabatini, kama haitoshi hata mikoba yake tu ina vumbi usi ongelee viatu sasa.
Nilisha jitahidi sana kumwambia "bwana mimi hii tabia yau shagalabagala sipendi kwanini usifute vitu vyako vikae katika hali ya usafi una onekana kuto kujali hata vitu vyako ulivyo nunua kwa pesa yako?! "Na mengine kede wa kede.
Wadau pengine kuna njia mbadala ambayo inaweza saidia em tushirikishane hapa huwezi jua utakuja kutana na dada wa aina hio mbeleni na majibu ya uzi huu yaka kusaidia.
Nawasilisha bandugu!
Wewe unavyolalamika ndivyo wife anavyonilalamikia!
mahusiano ndani ya miaka 5??unamsoma tabia au unasomea udaktari???above all kama umeweza kukaa nae miaka 5 na umeshindwa kumbadilisha then mimi sina cha kukushauri,labda wengine wataweza[/QUO
Sawa ngoja niwa subiri washauri... ila na jaribu kum study hata kama itanichukua miaka 10
Kwamba uko disorganized? I don't trust well organized brotha-men. 9 outta 10 wana matatizo somewhere.
Wanawake ndio wanatakiwa kuwa wasafi 10/10. Ni kitu wanazaliwa nayo. Huwezi kumfundisha mwanamke kuwa msafi.