Ananikera hiki kitabia cha shagalabagala

huyo mwenzio huenda ana stress kwa hiyo kuna vitu ameamua kutokujali. Taka kujua kinachomsumbua badala ya kung'ang'ania abadillike. badilika wewe. kutaka kumbadilisha mtu mzima ni kutafuta mafarakano yasiyo ya lazima. umesema unataka umbadilishe mpaka akukumbuke kwenye historia kuwa uliwahi kumbaadilisha. hii ni dalili ya mojawapo ya personality disorders (sorry to say).

Ni badilike nn? Kwenye post cja sema mm ni disorganized so I have nothing to change... pili wapo watu walio tengeneza historia kwenye maisha ya watu ...its NormaL labda kama wewe ndio kwanza una sikia, unapo pata mtu aka badilisha maisha yako in either positive au negative aspects tayari huyo mtu anakua kaku jengea kumbukumbu maishani mwako... mfano: unapo hangaika kutafuta kazi na aka tokea mtu aka kusaidia na uka pata kazi thaz an history in your life that has been made by that individual.. unapo kua mlevi waku pindukia na akatokea mtu aka kusaidia uka aachana na ulevi huo tayari huyo mtu kaacha historia kwenye maisha yako, unapo kua mwizi na mtu aka kusaidia uka aachana na huo wizi basi huyo mtu vile vile kaacha historia kwako... likewise to my side: my girl is disorganized na kwa sababu mm sio disorganized najitahidi kumsaidia ili akae kwenye mstaari mzuri... siku akiona mabadiliko atakuja kuni kumbuka kua I changed her from point A to B that will definitely be an history on her... as simple as that........... karibu tena!!!!
 
nashukuru kwa ukaribisho. kukwambia ubadilikie wewe sikumaanisha uwe disorganized bali ubadilike jinsi unavyotazama na kuchukulia mambo. ukiona mlevi kabadilika si kwa sababu ya mtu "aliyembadilisha" bali sababu ya utashi (will). Kwani walevi wangapi wanahangaikiwa, wanahubiriwa na hawabadiliki?

na je, hilo tatizo la disorganization mwenzio naye anaona ni tatizo? wewe unajitahidi kumsaidia akae mstari mzuri; yeye amekusaidia mangapi ili ukae mstari mzuri? ni kweli wapo waaliotengeneza historia kwenye maisha ya watu binafsi na jamii kubwa kama kina titi mohamed, j. nyerere, mama theresa, na watu wengine wanaofanya dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo. if you can, and wish to make history, why don't you make a more significant history? otherwise you sound like a control freak. narudia, kama tabia hiyo imeanza karibuni tafuta chanzo badala ya kuhangaika na matokeo.
 
Unapomwambia mwelekeze kwa mifano mkuu mfano mkoba una vumbi mwelekeze huku unafuta, nguo akikunja kabatini zina jasho zitie kwenye beseni la maji mwishowe atajua unakereka na atajistukia ataanza kubadilika

Kama hakujifunza utotoni/home na
Nyumbani, sahau.
 
Hata mimi nilitaka sema hivyo nikaogopa kuambiwa mkabila ila wahaya na wagogo mmmh

Hawa wa kanda ya kati, take like.
Alikuwa mpangaji mwenzangu, tuna share baraza. Kila siku ni kupuliza dawa ya kuua inzi!
 
nashukuru kwa ukaribisho. kukwambia ubadilikie wewe sikumaanisha uwe disorganized bali ubadilike jinsi unavyotazama na kuchukulia mambo. ukiona mlevi kabadilika si kwa sababu ya mtu "aliyembadilisha" bali sababu ya utashi (will). Kwani walevi wangapi wanahangaikiwa, wanahubiriwa na hawabadiliki?

na je, hilo tatizo la disorganization mwenzio naye anaona ni tatizo? wewe unajitahidi kumsaidia akae mstari mzuri; yeye amekusaidia mangapi ili ukae mstari mzuri? ni kweli wapo waaliotengeneza historia kwenye maisha ya watu binafsi na jamii kubwa kama kina titi mohamed, j. nyerere, mama theresa, na watu wengine wanaofanya dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo. if you can, and wish to make history, why don't you make a more significant history? otherwise you sound like a control freak. narudia, kama tabia hiyo imeanza karibuni tafuta chanzo badala ya kuhangaika na matokeo.

Like seriously kuna chanzo kikubwa saaaana kinacho weza kumfaanya mtu aliekua organised awe disorganized... my take from the girl probably usafi wake niwa msimu.... kitu ambacho haki takiwi usafi ni wajibu ufanywe kila siku.... chanzo cha kua disorganized kama ulivyo uliza nadhani ni UVIVU na MAWAZO hasa MAWAZO ya nn siwezi kujua... coz naamini stress ina maliza nguvu naku chosha mwili kiasi kwamba utashinda kitandani muda wote na usitamani kufanya hata kijikazi chochote kidogo as a result : DISORGANIZED
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom