Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Mhhh kwa huu mwandiko bora tu alale na hao watoto
Siaaa NILIWAHI ONGEA yalionikuta ndoani nkaacha KILA KITU2005 ndaniya MWEZI
MWANAMKE ANASEMA tuandike KILA KITU Mr n Mrs UNAWAZA katymwa kalogwa HAPANA a UNAWAZA Kwaoo n masikini HAPANA omba muyamalize akahamia loundry room dah yakanishinda naminikahamia......
Juzi Nimekutana na KIJANA MMOJA ana HELA chafu aliokwauoendo ANAJUA anaenda KUWA babaa weweeee
....tutaendeleaa kesho akanikumbusha mbalii vyema TUSHIRIKIANE NAJUA WAPO amjalala mnaoambana na haya
 
Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
Umeongea bonge la point mpenzi. Sumu kali inayouwa mahusiano ya sasa ni kiburi kinachozaliwa na ukosefu wa mawasiliano mazuri.

Mtu akitoka kando huko akiwa na rafikj zake anafunguka mafaili yote na analielezea tatizo wazi wazi lakini akienda na mkewe hanyooshi maelezo au anakuwa bubu kabisa sasa sijui shida inakuwa nini.....?!

Hivi unashindwa mwambia mwenzako kuwa mahaba yanapungua siku hizi kwasababu umeacha kunijali hauniletei zawadi. Au sifurahii kukiss na wewe kwasababu hausafishi vizuri kinywa chako kinatoa harufu kali?! Au kumwambia kuwa unanikwaza tabia ya kuniomba pesa kila wakati kusaidia familia yako na huku sisi mambo yetu yanasimama...... Au sikukusamehe ile siku ulivyotoka na rafiki yako wa kiume mkaenda kula lunch bila ridhaa yangu?!
Communication ndio kila kitu yaani katika mahusiano.....
 
Let us be realistic. Wanawake ndio chanzo kikuu cha matatizo ndani ya ndoa nyingi.

Yani hata haingii akilini,mtu analala chumba cha watoto na ukiangalia kitchen party alifanyiwa kabisa.
Ni kweli kabisa. Na shida ni moja, jamii imetengeneza "victim mentality" katika vichwa vyao kuwaaminisha kuwa hawana hatia na wapo so innocent na ni perfect hawanaga makosa....

Mwanamke anaweza kulala na mtu nje akaleta ujauzito ndani usipofanikiwa kumkamata hiyo scandal itapoa kimya as if ni sawa ila ukimkamata ataanza visingizio mara ooh ulikuwa unaniacha pekee yangu upweke ukanizidi nguvu nikashawishika ila nisamehe nimekosa....

Mwanamke anaweza kuchat na kuflirt na wanaume kwenye mazingira ambayo ukitazama kwa umakini unaona huyu atatombwa muda wowote huyu. Ukimconfront anakwambia ni chatting tu nothing serious siwezi kukusaliti.

Mwanamke unaweza mfumania anamahusiano kabisa nje ya uhusiano na akuomba msamaha halafu akaendelea kwa usiri ukimbamba tena ukaamua kumchapa makofi jamii wanasema mwanamke hapigwi sasa unamtreat vipi mtu anaebehave kama mtoto kama sio kwa kumpa kichapo.....?!
 
Hivi kweli unaamini yale mafunzo ya masaa kadhaa kwenye kitchen party yanamuandaa mwanamke kwa maisha ya ndoa?

Mpaka umemchagua kuwa mke wako Ina maana ulimuelewa. Sasa ni kwanini unashindwa kuwasiliana na mtu uliemuelewa ili kutatua tatizo.

Panga weekend moja hotelini mkae wawili tu siku tatu muone kama hamjafikia muafaka.
Dah... Hivi we dada umeolewa?! Usinambie habari za una boyfriend sijui my man.... Naomba unambie kama haunapete seriously nijue....

Maana point zako unazoziongea hadi nadinda..... Ungekuwa ni mwanamke wangu halafu nisome hichi ulichokiandika walahi leo usiku tungefanya hadi kunakucha maana nimekutamani balaa hapa..... Dah kuna wanawake mnajua kusisimua wanaume jamani loooooh
 
Wakati mwingine mnawalaumu wanawake, tatizo waume wengi hawapendi kuwasikiliza wake zao, akirudi hana muda na wake zao wakurudi ni kula kwenda kulala mke anakuwa na vitu vingi vyakuongea na mme na akitaka kuongea naye jibu kachoka aachwe apumzike, sasa mke akaongee na nani wanaume wengi hamjielewi na hamjui nini maana ya mwenza, mechi zenyewe mbovu mke ataacha kuwa na stress? Nyie ndiyo mnafanya wachepuke kaeni na wazee mpate busara za ndoa.
Kwann usimtafute kwa kutumia text za simu. Labda amechoka kweli na haya maisha yalivyomagumu unataka mtu akae anakusikiliza unamwambia namna jirani alivyogombana na mkewe.... Au sijui story gani....

Muache apumzike mpe space anayotaka.... Akienda kazini mtext ajue unashida gani au vizia weekend siku ambayo hana mambo mengi mwambie unajambo la msingi unahitaji zungumza nae....
 
Una dada wa kaz hapo kwako ama mtu mzima? Kama ni ndio fanya hivi:-
Mchukue mkeo siku moja umpeleke sehem tulivu jioni mpate chakula cha usiku akiisha shiba anza kuongea nae kwa upole na umwambie jinsi gan hiyo tabia inakuumiza,alafu chukua chumba mlale huko huko msirudi nyumban siku hiyo. Naku ahidi had kufikia asubuh atakuwa ameishajutia tabia anayokufanyia na atarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Hio si mpaka upate mke anayesikiliza akiwa na hasira...Wengine wanazira maana yake hataki kusikia lolote usimguse hata kumgusa. Hio mood ya kumpeleka mtu hotelini for dinner
 
Hujawahi kutana na kidume asiyependa sex na kuona kama ni usumbufu? Kama ndio basi jua wapo wanawake wa aina hio hio.

Hasa wale wanaowaza maendeleo zaidi katika maisha.
Kwa kweli sijawahi kukutana na hyo situation, na Kama ipo labda mtu ana matatizo na kwa wanawake huyo anayewaza maendeleo bila kufikiria mwenzi wake hajielewi, inabidi kubalance Mambo ya maendeleo na hyo sector adhimu
 
Hio si mpaka upate mke anayesikiliza akiwa na hasira...Wengine wanazira maana yake hataki kusikia lolote usimguse hata kumgusa. Hio mood ya kumpeleka mtu hotelini for dinner
Sasa huyo atakuwa na pepo la kiburi na dawa yake ni kumuombea kwa maombi ya kumletea mke mwenza kama dini yako inaruhusu
 
Kwa kweli sijawahi kukutana na hyo situation, na Kama ipo labda mtu ana matatizo na kwa wanawake huyo anayewaza maendeleo bila kufikiria mwenzi wake hajielewi, inabidi kubalance Mambo ya maendeleo na hyo sector adhimu
Ndio hivyo yani.
 
Sasa huyo atakuwa na pepo la kiburi na dawa yake ni kumuombea kwa maombi ya kumletea mke mwenza kama dini yako inaruhusu
Hapo wengine ndio wanapinga hasa likija wazo la kuchepuka.
 
Una dada wa kaz hapo kwako ama mtu mzima? Kama ni ndio fanya hivi:-
Mchukue mkeo siku moja umpeleke sehem tulivu jioni mpate chakula cha usiku akiisha shiba anza kuongea nae kwa upole na umwambie jinsi gan hiyo tabia inakuumiza,alafu chukua chumba mlale huko huko msirudi nyumban siku hiyo. Naku ahidi had kufikia asubuh atakuwa ameishajutia tabia anayokufanyia na atarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Muda mwingine hivi vitu havisaidii sio kwasababu sio mbinu sahihi hapana..... Ila ni kwasababu watu wanatoka katika different family backgrounds na hivyo wanakuwa na different past yenye migogoro ambayo huwezi ielewa.

Nitakupa kisa changu kwa ufupi ni kirefu sana. Nilikuwa na girlfriend wangu ambae nimekuwa nahusiana more than 8 years. Nimeanza nae tokea tukiwa o level. Huyu binti kwa namna nimekuwa nae nina uhakika alinipenda kweli na mimi nilimkubali kweli sababu ukitazama muda tuliodumu, mambo tuliyofanyiana, makosa niliyosamehe na ukaribu wake na familia yangu ni wazi she's the one.....

Tulianza kushindwana huku ukubwani tulipoanza mazingira ya kukaa pamoja kama wachumba wa kuoana kesho au keshokutwa.

Binti alikuwa ananijengea mazingira ya kutaka tupate sehemu kubwa ya kuishi yaani nyumba ya kuanzia vyumba vitatu jambo ambalo me nilistaajabu na kujiuliza why tuwe na sehemu kubwa hivyo yote ya nini na sisi ndio kwanza tunaanza kujijenga na kuanza maisha yetu. Hakuwa akisema kitu ila nadhani ndani ya moyo wake aliona nampinga jambo la msingi sana at least kwake......

So siku zinaenda nikawa naona katika mazungumzo na jitihada zake ni kunishawishi na kujenga mazingira ya kutaka kuja kuishi na wadogo zake watatu wa kike, wa kiume m'moja katika sehemu atakayokuwa anaishi na mimi jambo ambalo mimi sikuwa naona ni la busara kwa wakati huo na heri lingesubiri.

Siku zinaenda ile issue ikaja kuwa very serious akawa sasa ni anaiweka wazi wazi.... Mimi napinga kwa sababu zangu yeye anatete kwa sababu zake. Mimi napambania kujenga familia yangu na yeye, yeye anapambania kurekebisha changamoto za familia yake...

So hii kitu ikaja kuwa changamoto kwetu sisi wawili katika kufanya maisha pamoja sababu mwenzangu analeta issues za familia yake katikati yangu na yeye na hii inaanza kubana nafasi ya sisi kuweza kusimamia ndoto au malengo yetu wawili.

Akaja kupata kazi ambayo ni mimi ndie nilipeleka bahasha siku ya deadline tena kwa kumuiencourage maana alikuwa ameshakata tamaa na hakuwa tayari tena kutuma ile application. Kumbuka tokea tumeanza 2006 hakuwahi kupata kazi ya mkataba wala kuajiriwa hii ndio kazi yake ya kwanza kabisa ya kuajiriwa rasmi na sio magumashi.

Alipopata kazi tu duuuuuh hakuna rangi sikuiona hivyo vibweka na vituko alivyonianzishia.... Kauli za ajabu zilikuwa zinamtoka.

Nikimuuliza maswali anatoa majibu ya kitata ambayo nikihoji hayo majibu yanakeuga tena kuwa kesi kuwa nimemsema vibaya. Kwamfano nilimuuliza, wewe hauoni kama kuishi sasa hivi na wadogo zako hapa hatutaweza sababu bado hali yetu tunajipanga huwezi kusubiria kidogo, akanambia mimi ninapokwenda wadogo zangu nao wananifuata siwezi wafukuza, me nikamwambia sasa hapo tumewafukuza au tumesema tunajipanga, akanijibu ndio hivyo sasa, nikamwambia hapana hayo ni maisha ya kipemba hatuwezi ishi kama wapemba akaitikia tu "sawa" ila kumbe lile neno akaenda mwambia mama yake.....

Kulitokea mtafaruku wa kila aina hapo kati ila kwa kifupi huyu binti akawa kiburi, akaniruka futi mia na sasa akawa ni total stranger kwangu. Alikuwa anaukaribu na mama yangu but ukaribu ule ulipungua na ukakoma hadi mama akawa ananiuliza fulani yupo wapi nini kinaendelea, nikawa nakosa cha kumwambia mama sababu hata sielewi nianze wapi.

Ile kitu ilinichanganya sana sababu sikuwa nawazia kuwa tutafika hiyo hatua ila nilijikaza kiume. Maumivu yalikuwa makali nikapungua uzito, usingizi ulikuwa upaa most of the time nashindwa hata kuelewa nipo katika ndoto au uhalisia(kuelezea vichache tu maana nilipitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu sijawahi kuexpirience).

Nikamtumia tu text moja ya kumwambia ninavyojisikia na kuwa nimeona vita aliyonianzishia sikujiandaa nayo maana sikuwahi kumuona kama adui maisha yangu yote na nilimuamini kuliko mwanamke yoyote then nikasurrender nikasema famililahi heri kukosa kuliko kuumia kila siku na sipati jibu wakati yeye anaona ni mchezo tu hapa unaoendelea.....

Maisha yakaendelea hadi hapa ninavyosema ni mwaka wa pili huu vidonda havijapona but at least naweza kula, kulala na kufanya mambo mengine na kujipanga upya na akili yangu nimeiprogram kujenga maisha bila kutegemea assistance au uwepo wa mwanamke yoyote.

Nilichojifunza katika uhusiano huu nilioujenga kwa miaka mingi sana na ukanigharimu ni kuwa watu wanahistoria zao, na hizi historia huwa zinawashape kuwa na mienendo ya namna fulani ndani ya roho zao. Unaweza kutana na mwanamke akakuonyesha kila dalili kuwa ni perfect choice yako, mkajenga maisha mazuri pamoja kumbe mwenzako alishajiapiza kutafuta mali ili aje arithishe nduguze.... Wewe unajua sasa umemaliza kumbe mwenzako ndio anaanza ndio ile unashangaa utu uzimani mwanamke anaanza kukugeuka anakufitisha na watoto wako uliozaa nae.... Ili akuchanganye umuache abakie na mali au mgawane.....

Yule binti alimuona mama yake ujana wake so alimtazama namna anahangaika na maisha, ndani ya nafsi yake akajiapiza kuwa yeye hatapitia maisha kama ya mama yake na hapo hapo akawa anahofu juu ya wadogo zake wasiteseke (kiuhalisia hawa wadogo zake hawana mateso yeyote wanaishi vizuri, mama yake alipata mume utu uzimani na akaolewa na wanamtoto m'moja na huyu mzee. Ila huyu mzee analea hawa watoto wa kufikia kama wakwake). Ila kwa bahati mbaya binti anasikiliza sana story na mijadala ya manyanyaso ya wanawake so anajitune kuwa na yeye ni muhanga so anajihami kabla hatari haijamkuta.....

Ndio maana nikasema ni vema tukawajua hawa wenzetu wanamalengo gani kabla hatujafanya nao maisha serious. Wanawake wenye malengo Mazuri wapo na wanakuwa na shida moja tu kupata mwenza wa kufikia nae hayo malengo na hawapati. Imagine kupata mwanamke anaetaka kuwa na familia bora na wewe anakusaidia uimarike mfikie hilo lengo.... Halafu imagine kuwa na mwanamke ambae anapretend kupambana na maisha na wewe kumbe anatafuta mali na pesa za kwenda kusaidia familia yake ambayo si kwamba ni duni ila tu ni mihemko ya kujifanya mwanamke wa shoka anatafuta kuonekana mwamba kwa ndugu zake na marafiki..... Huu ni utoto na huwa unawagharimu sana watoto wa kiume....

Mimi niliumia na bado naumia sana hadi sasa, ile experience imenibadirisha.... Hadi sasa ukinambia nimchagulie adhabu naona haipo... Kuna muda hadi nilikufuru nikaamka usiku nikasema hivi kwann nisitafute pistol na risasi nyingi niende nikawachape risasi wadogo zake na mama yake halafu nimtazame usoni akiwa anaomboleza nimwambie hayo maumivu unayoyasikia ni gharama ya upumbavu wako ukiouleta kwenye maisha yangu kunipotezea mda so nimekulipa and we are now even i go to jail wewe go and live the hell u wished upon yourself. Then nikamuwaza mama yangu, nikamuwaza niece wangu, nikawaza mdogo wangu wa kike na ndugu zangu wa kubwa nikajisemea hawa wananihitaji zaidi kuliko ninavyodhania, nikifanya kitu kibaya huyu kima nitamuumiza but hawa nitawaumiza zaidi..... Aisee basi nikapiga goti nikamwambia MUNGU hiki kisasi nakirudisha kwako... Sitafanya chochote ila siwezi kumsamehe huyu binti, siku nitaridhika ni hadi nione na yeye amevunjika mara mbili yangu na maisha yake hayana direction tena na akumbuke alinikosea hapo ndipo nitatulia ila as long as napumua na ndani ya roho yangu milele, sitamsamehe kwa maana sikuwahi mtakia baya lolote na kosa nililolifanya nikukabidhi moyo wangu kwake.... Sitomsamehe....

Hadi hapa ninavyoongea kila siku ninapomkumbuka nanuia ndani ya nafsi yangu kumkumbusha MUNGU kuwa kisasi nimemuachia yeye mimi sitofanya chochote yeye atajua.....
 
Nimejifunza kitu hapa:-
  • Kujua historia ya nyuma ya maisha ya mtu kabla ujawanae.
  • Maredhi ya wazazi wetu Yanaweza kutuathiri had kwenye Mahusiano yetu
 
Ila mimi kazi ya kubembeleza nipewe uchi ndo sifanyi aisee.Asije akapata mashetani ya kuringishiana kikojoleo,labda awe kaamua kuondoka kabisa.
Niibembelze hela for her na nimbembeleze yeye kwa utamu tunaopata wote??sifi mapema kijinga hivyo mimi!!
 
Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
Kale ka moment kakutongozana mpaka mnakuja kuoana kangekuwa kana last mbona ingekuwa raha sana,hakuna kugombana,hakuna kucheat,mkigombana kila mmoja anajaribu kuwahi kuomba msamaha ili yaishe,yani raha mustarehe...
 
Hivi kweli unaamini yale mafunzo ya masaa kadhaa kwenye kitchen party yanamuandaa mwanamke kwa maisha ya ndoa?

Mpaka umemchagua kuwa mke wako Ina maana ulimuelewa. Sasa ni kwanini unashindwa kuwasiliana na mtu uliemuelewa ili kutatua tatizo.

Panga weekend moja hotelini mkae wawili tu siku tatu muone kama hamjafikia muafaka.
Unaongelea kuhusu PESA hoteli bora UNINYONGE😁😁
 
Back
Top Bottom