Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

kwanini usianze kumshangaa huyo jamaa yako kwa kuchanganya wafanyakazi wenzie wawili unamshangaa mdada ambae anaagana na laaziz wake ili akiingia ndoani atulie
 
Sijapiga mzee. Ila naona wanayoyafanya. Hawa ni wake za watu. Najiuliza wangu inakuaje?
APP ZOTE HIZI ZA KUTRACK Namba za mtu zilivyojazana huko play store ..halafu bado unakubali kabisaaa kichwa chako kiendelee kuswalika maswali "kuhusu tabia ya mkeo ..kama atKuwa anafanya au hafanyi !!!?"" hebu fnya kuidownload moja "" ufanye ushushu wako kisha utuletee majibu hapa
 
Mkuu hayo mambo ukiyafikiria sana hutaweza kula wala kunya kunywa wala kukojoa na hautaweza hata kufanya kazi za kujenga viwanda!
Kwa kifupi mkuu hiyo haina spea wewe tumia tu kisha nenda kwenye kazi zako!
Spea zako ni ARV tu hakuna nyingine

aitiviiiiiiii,maraaaaa!!!
 
Ulivyosema 'anapigwa nje balaa' nikajua anatoka karibu na ofisi nzima yaani neno hapana kwake msamiati mzito...kumbe anatika na mmoja tu mtoa mada acha kukuza mambo madogo[emoji13] [emoji13]
HAHAAA ...DAAAH HUMU WATU MMEVURUGWA MNOO
 
Wanandoa wengi wanatoka nje ya ndoa lakini hawataki kujaribu kujua kwani hawataki kuachana. Hivyo usidhani hao wenye wake zao hawajui wanajua sana ila hawataki kushuhudia maana watakufa mapema. piga kmya...
sahihi kabisaa mkuu..watu hawataki kujua kuhusu hayo
 
Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.
Kwa akili zao unachofanya ni kujitafutia usumbufu waje kukuuliza anaishi wapi wakamshuhudiee yani umemtangazia biashara mfanyakazi wako!..
Halafu na we wale unashindwa nini?
 
MKUU NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE JINSI AMBAVYO AUDIENCE WALIVYOIPINGA HOJA YAKO
KUANZIA LEO NINGEPENDA UYACHUKUE MAJIBU YAO KAMA PICTURE YA KUKUELEZA MAHALA AMBAPO DUNIA ILIPOFIKIA KITABIA/ DESTURI. ....

usiku mwema
 
Huyu jamaa ni miongoni mwa wasio na kinyaa.
Atakuwa anawanyonya pande zote.
 
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
Aisee...
Kwa hiyo jamaa yako unaona hana anacho alichokosa HADI UKAONA ANAFANYA VIZURI TU..!!!!

Ningekuelewa kama ungemsema huyo jamaa yako kama ambavyo umesema huyo mama... WOTE HAWANA AKILI...

We naye wale wale tu
 
Ya msondo muachie ngurumo, ni rahisi kutabiri kesho yako kuliko kumtabiri mwanamk, hawaaminik hawa, liwe funzo, kesho na keshokutwa yakikusibu usishangae ujue cha kufanya, nmechoka kusikia watu wanajiua kisa mapenzi
 
Muache ajiliage vya mwisho mwisho...
Halafu yaweza kuwa anaolewa tu lakini mapenzi yapo kwa huyo mwingine...
 
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
Mkuu wacha wapigwe miti tu maana hakuna namna, kwani **** zinaisha?
 
Naona huyo jamaa ndio uzi huu ulimlenga [emoji3][emoji3][emoji3]. Acha anyooshe mbavu mwenzio.
 
Back
Top Bottom