Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

Lakini haibadilishi ukweli.
Mkuu.....
Haya mambo huwa ni magumu sana hata kama yanaukweli ndani yake.
Ulisha wahi kujiuliza kwamba, mwanaume anapo fanya maamuzi ya kuoa, huwa anaangalia nini hasa?
 
Wanawake wengi wanaolewa na watu wasiowapenda ndo maana ni rahisi kwao kucheat.
Mziguatisini! Comment yako ni mada'ujue.
Imakuwaje bishost unaolewa na mwanaume usiyempenda!
Hili hutokeaje labda, ukiachana na hao wenye mila za kuozeshana kwa nguvu.
Kwa nyie wasomi na mliostaarabika, linatikeaje hili mzigua!
 
Umri kwenda na pressure ya kutaka kuonekana na wewe umevaa shela.
 
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
soma Biblia Mathayo 18:15- 17 utapata la kufanya hapo
15 Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo.
16 La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike.
17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.

kama hutafanya hayo na ukae kimyaaaaaa milele!!
 
Itakuwa mume ana shida flani,halafu maisha Siku hizi ni kurahisisha tu maana haya nayo mapenzi ni hasara tu
 
Naomba unijuze
Ebu muacheni kijana aoe, hata kama huyo mchumba anachapwa nao huko nje aiseeee.......
Na pia muoaji anajua mchumba wake sio bikra, na anatambua kwamba utamu wake bado upo vilevile hata kama alitolewa bikra na wengine....tehteehh
Mwanaume kufanya maamuzi ya kuoa/kumuoa flani, hapo mwanaume anakua ameangalia vigezo vingi ambavyo vinampendeza yeye.....
Ndiomaana unaweza kuta mtaani kuna mdada malaya alie shindikana, lakini anatokea mwanaume atokako na anamuoa tena kwa kumvisha shela, na wana mtaani wanabaki kumshangaa muoaji kwamba labda kalogwa. Baada ya hapo mume anamchukua mke na anaenda kumpa shughuli ya kufanya huku ikiwa imemdhibiti na maisha yanakua safi kabisaaaaa
 
Makosa ya watu wachache usijumlishe wanawake wote ingekuwa hvy watu wasingeoana maana kuna wanaume pia ni wachafu zaid ya bata ila kinachotakiwa tu kujua si wote bali baadhi yao
Hvy Ungewauliza hao wahusika nadhan ungepata majibu mazur zaid ya humu
Basi umemaliza hote. Kuna katabia cha watu kujumuisha wanawake /wanaume ni wabaya wkt ni mtu mmoja ndio amemtenda.
Na wengi wenye lawama za hiz hukosa bahat. Coz hata yule mr.right/ mrs right akija watadhani ndio wale wale kumbe wanakosea sana.
 
Hakika kinachotakiwa tu ni umakini na sio kumdhania kila mtu mabaya
 
Nilichogundua mnamuonea wivu huyo jamaa yenu, acha awapindue tuu
 
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
Sasa hapo ww kinakuuma nini ??wanaumw wengine bwana .umekimbilia jf kutuletea mambo yanayokuuma kazini kwako ??sema huyo Dada hata ww unamtaka lakini amekunyima .acha jamaa ajilie.ww wakwako huko kazini kwake unajua analiwa nawangapi ?
 
Hata baadhi ya wanawake wanamanung'uniko juu wanaume zao.
 
Back
Top Bottom