Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

Kaka unacheka nini ndugu? hawa mabinti wanauzi sana, sasa kanaliwa, eti kakiolewa hakataliwa, kama ndoa vile ni switch ukiweka on automatically tabia mbaya zipo off
nilicheka kwa sababu uliongea mambo meupeee
 
Hyo jamaa atakua na kitu specl kinachofanya hao wanawake kudata ivyo..si bure
 
Si akazitatue na mume wake.
sasa sindio anaamua kuolewa na mume Mwenye Pesa ili akazitatue vizuri ...yaani hata kama hampendi "" anachofuata ni utelezi tu ""mambo ya kumpnda atampnda huko huko wakiwa kwenye ndoa...tehee
 
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
haikuhusu
 
Back
Top Bottom