Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,493
Reaction score
8,172
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
 
Makosa ya watu wachache usijumlishe wanawake wote ingekuwa hvy watu wasingeoana maana kuna wanaume pia ni wachafu zaid ya bata ila kinachotakiwa tu kujua si wote bali baadhi yao
Hvy Ungewauliza hao wahusika nadhan ungepata majibu mazur zaid ya humu
 
Ubaya ni kwamba naona na ninaujua ukweli
 
1. Unatabia ya kufuatilia maisha ya watu
2. Una wivu kwenye mahusiano yasio kuhusu
3. Unatabia za kikeni aiseeee....

Naomba nikukanye tu mkuu.... HUO SIO UANAUME
mkuu ushauri wako akiutilia manani wanaume tutaongezeka bila shaka
 
Mi naona anajitambua na hatoweza msaliti mpenzi wake sahivi ngoja amalize hamu hasije chepuka kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom