Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

Umri kwenda na pressure ya kutaka kuonekana na wewe umevaa shela.
Jamani kutakiwa si huanzia kwenye umri wa usichana kabisa, itakuwaje tuongelee umri?
Nadhani kuna sababu nyingine pia zaidi ya age!
Maana na nyie dada zetu!
Ukute jamaa sura ya mbuzi halafu lina mi'ela!
Ama jamaa lina trick za vitisho vya uchawi ama ujambazi na uuwaji! Unaenda kwa kuhofia usalama wako.
Maana hii niliwahi kuiona sehemu.
Jamaa lilimtaka mwanamke akawa halipendi, wee!
Walivyokutana nalo likamwabia kwa ghadhabu bila kupepesa macho 'kama hautaki tutaona'!
Mwanamke aliufyata na kujinasisha bila kupenda mbona!
Ila kwa upande mwingine tukija kwenye mada kuu ni kwamba, kuna kauendawazimu ama kihoro cha kuolewa huwa kipo. Nimeshuhudia mara nyingi watu kufanya kufuru na ma x wao kabla ya kwenda kufunga ndoa.
Sasa tuseme na hiyo huwa wanapokwenda hawapapendi?
 
wanaume wapigeni shoo ya kutosha wake zenu acheni kujifanya mko bize,la sivyo mtaendelea kulalamika mitandaoni.
 
Hayo Ni Mambo Yakawaida Sana Hata Siye Wanaume Huwa Tunachepuka Hata Kabla Ya Ndoa Na Baada Ya Ndoa
 
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
hiyo tabia haitakufa itaendelea hata akiwa ndani ya ndoa,huwa siwaamini wanawake na sitoweza kuwaamini kamwe,tunaishi nao sbb ni agizo tu ila hawa viumbe ni wabaya saaaaana,believe me ni wachache saaana wanaojielewa,ukioa binti ambaye si bikra tegemea kuna mtu hapo kati alivutiwa naye saaaaana na hawezi kumuacha ,jiandae tu kuvumilia hili
 
Kibinadamu huyo dada anamkosea Mumewe mtarajiwa. Why anafunga ndoa wakati mapenzi yako kwa huyo mfanyakazi mwenzake? Why asiolewe na huyo mfanyakazi mwenzake?
Imagine anawaalika siku ya harusi yake, anavaa na shela kabisa anacheza, je nyie mnamuangaliaje bwana harusi? Mnamuangalia bwana harusi mkijua kabisa jamaa anachapiwa mke wake. Aibu inakuwa kwa bwana harusi japo yeye hajui.
 
Kwenye hili swala... Wote wanamakosa na hawapo sawa...

Mtongozaji anajua kabisa huyo ni mke mtarajiwa wa mtu au mke wa mtu, mtongozwaji nae anakubali...

Wanasikitisha sana...

Cc: mahondaw
 
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
Mkuu wanajaribu za aina mbali mbali kabla hawajatulia kwenye ndoa ingawa hazizoeleki kila siku zinakuja za ladha tofauti. Hawajui kuwa kikubwa ni kuridhika na uliyenae!
 
Kibinadamu huyo dada anamkosea Mumewe mtarajiwa. Why anafunga ndoa wakati mapenzi yako kwa huyo mfanyakazi mwenzake? Why asiolewe na huyo mfanyakazi mwenzake?
Imagine anawaalika siku ya harusi yake, anavaa na shela kabisa anacheza, je nyie mnamuangaliaje bwana harusi? Mnamuangalia bwana harusi mkijua kabisa jamaa anachapiwa mke wake. Aibu inakuwa kwa bwana harusi japo yeye hajui.
Inauma sana kwa kweli..muwe mnatuonea huruma basi.
 
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.

Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.

Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.

Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
Wanandoa wengi wanatoka nje ya ndoa lakini hawataki kujaribu kujua kwani hawataki kuachana. Hivyo usidhani hao wenye wake zao hawajui wanajua sana ila hawataki kushuhudia maana watakufa mapema. piga kmya...
 
Wadada wengi wanaolewa kuogopa aibu yakuonekana hawana sifa yakuolewa,acha wapigwe nawewe ungana nao uwape mapigo,piga sana hao piga sana.
 
Back
Top Bottom