Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
Anamalizia mechi zake za nje kabla hajaingia rasmi ligi kuu
Sawa kama hutaki naachaMi Sitaki tena.
Kw staili hii nitawapeleka hao watoto wote kwa mudi sijui mod awapige ban
Asifanye hivyo bwana. Kitu kinavyotumika mara nyingi ndo kinakuwa kitamu zaidi. Ref biologyMchoyo kweli anataka ale mwenyewe tu
Mara ngap umewahi kucheat?Wanawake wengi wanaolewa na watu wasiowapenda ndo maana ni rahisi kwao kucheat.
Sijaolewa ila nikiwa na mwanaume ninaempenda sicheat labda tuzinguane.Mara ngap umewahi kucheat?
Swali ni kuwa umewahiSijaolewa ila nikiwa na mwanaume ninaempenda sicheat labda tuzinguane.
Kuna dada mmoja ambaye ni meneja msaidizi kwenye kampuni ninayofanya kazi kwa sasa, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Kwasasa anaishi na huyo mumewe mtarajiwa na wana watoto wawili tayari.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kutoka na tabia ya huyo dada kutoka kimapenzi na mfanyakazi mwenzetu. Na isitoshe yeye ndo anampenda sana jamaa. Amepanga achukue leave mwezi huu mwishoni ili waende tanga kabla ya ndoa yao na huyu jamaa wakale raha.
Kusema kweli inaniuma na ninajaribu kuwaza kwa sauti mpaka sipati jibu kwakweli. Kusema kweli nyie wanawake sio watu wa kuaminika hata kidogo.
Mbali na huyo mwanamke, pia kuna dada mwingine hapohapo ni mke wa mjeda ambaye amehamishiwa kikazi njombe. Naye anatoka kimapenzi na huyu jamaa yetu.
Najaribu kujiuliza kuhusu nyie wanawake nakosa jibu. Hivi mnakosa nini kwa waume zenu?
Sijaolewa ila nikiwa na mwanaume ninaempenda sicheat labda tuzinguane.
Sasa tukizinguana si tumeachana au umeelewaje? Yani tugombane kawaida nikacheat. Sina njaa ya dudu kiasi hicho. Huwa nacheat nikiwa kwenye uhusiano wa kusogeza sikuWEWE NI SAWA NA HUYO, KWA TAARIFA YAKO BORA USIOLEWE KABISA, "KWENYE NDOA KUZINGUANA NI SAWA NA MSWAKI NA DAWA YA MSWAKI"
Sasa tukizinguana si tumeachana au umeelewaje? Yani tugombane kawaida nikacheat. Sina njaa ya dudu kiasi hicho. Huwa nacheat nikiwa kwenye uhusiano wa kusogeza siku
Kama wanawake wote hovyo natumaini mama ako ma dada zako na binti zako ni hovyo vile vile. Sawa tuishie hapaWEWE NAWE NI SAWA NA HUYO, HIYO TABIA HAAISHI KWENYE NDOA, WANAWAKE WOTE NI HOVYO TU KABISA, UNAFIKIRI NDO NI KAMA SWITCH UKIWEKA ON TABIA MBAYA ZINAKUWA OFF?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenza Daby akiona hii unaachwaUlivyosema 'anapigwa nje balaa' nikajua anatoka karibu na ofisi nzima yaani neno hapana kwake msamiati mzito...kumbe anatika na mmoja tu mtoa mada acha kukuza mambo madogo[emoji13] [emoji13]
Haya jifariji tuuHawezi kuona amesafiri