Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,870
Nini tena umenuna?Ahsante, na kwako pia mkuu. ingawa nimenuna.
Nini tena umenuna?Ahsante, na kwako pia mkuu. ingawa nimenuna.
Wewe sio wa kunitenda vile! bora nitendwe na watu wote dunia hii lkn sio ww. Hebu ka-undo lile tendo. Sio poa kabisa kwa kiafya. Ntajitundika bure mwenzio [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nini tena umenuna?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nimekuelewa.Wewe sio wa kunitenda vile! bora nitendwe na watu wote dunia hii lkn sio ww. Hebu ka-undo lile tendo. Sio poa kabisa kwa kiafya. Ntajitundika bure mwenzio [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ehee hapo ndipo nnapokupendea. Kichwa chako chepesi sana. Sikukosea kabisa kukuaproch![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nimekuelewa.
Ila wewe mbona una access lakini. Sijaelewa umeshindwaje.Ehee hapo ndipo nnapokupendea. Kichwa chako chepesi sana. Sikukosea kabisa kukuaproch!
Kweliii!!? mbona juzi nimehangaika sana!!? kila nikiweka password naambiwa access denied!!Ila wewe mbona una access lakini. Sijaelewa umeshindwaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua ulikosea password. Uliangalia vizuri kweli?Kweliii!!? mbona juzi nimehangaika sana!!? kila nikiweka password naambiwa access denied!!
Hata sasa nimejaribu imegoma. Hebu angalia vzr admin![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua ulikosea password. Uliangalia vizuri kweli?
Acha Uzinzi, yaweza kuwa mpigaji ni wewe afu unatudanganya Jamaa yako apo kazini, acha kutuchora.Sijapiga mzee. Ila naona wanayoyafanya. Hawa ni wake za watu. Najiuliza wangu inakuaje?
Tatizo lako limekwisha tayariHata sasa nimejaribu imegoma. Hebu angalia vzr admin!
Ahsante sana my admin, u a the best!Tatizo lako limekwisha tayari
Hujawahi kula mtu?Makosa ya watu wachache usijumlishe wanawake wote ingekuwa hvy watu wasingeoana maana kuna wanaume pia ni wachafu zaid ya bata ila kinachotakiwa tu kujua si wote bali baadhi yao
Hvy Ungewauliza hao wahusika nadhan ungepata majibu mazur zaid ya humu
Karibu tenaAhsante sana my admin, u a the best!
Umeanza kutatua matatizo ya wanaume JF?Tatizo lako limekwisha tayari
Acha wivu bby. Mbona lako nimelitatua na nataka nilitatue tena leo [emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza kutatua matatizo ya wanaume JF?
Mxiu.
Mwambie haiishi! aache uchoyo. Kizuri tunakula na nduguyoAcha wivu bby. Mbona lako nimelitatua na nataka nilitatue tena leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi Sitaki tena.Acha wivu bby. Mbona lako nimelitatua na nataka nilitatue tena leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mchoyo kweli anataka ale mwenyewe tuMwambie haiishi! aache uchoyo. Kizuri tunakula na nduguyo