Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Anaewajua wanyamwezi anisaidie

nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
Kaka hao watu balaa..mi kasababisha familia imeparaganyika huko mjini kwetu usiskie,ni washirikina kinoma..wabinafsi sana,ila inaweza isiwe wote,just jaribu bahati yako..
 
Nina kaka yangu mtoto wa baba mdogo alienda kufanya biashara Tabora maeneo ya Skonge kwa Wanyamwezi asilia.Aliacha home mke na watoto na kufika Skonge akapata mwanamke wa Kinyamwezi,ndugu cuchi nakuambia ukweli alikaa Skonge muda wa miaka minne bila hata kutuma barua wala hata shilingi kumi ya kussuport familia.Kilichofuata ilibidi ndugu zangu wamfuate kwa nguvu huko Skonge na kumrudisha nyumbani lakini hata hivo baada ya kufika nyumbani alikaa wiki mbili akarudi tena Skonge kwa mke wake wa Kinyawezi ndugu wakamfuata tena wakamrudisha nyumbani lakini wakati wanamrudisha yule mwanamke wa Kinyamwezi akawaambi kuwa kama mmeng'ang'ana haina shida nyie mchukueni tu lakini jua kuwa ameniacha huku nyuma na watoto wawili,familia ikasema watoto si shida itatoa hela ya kuwasupport.Huyo ndugu yangu alivofikishwa nyumbani alikufa within 3 weeks na siku anakufa alitapika dagaa,so Wanyamwezi kuanzia siku hiyo sina hamu hata kidogo

Hiyo kali ila angekutana na mwanamke wa Kingoni nae angefarik huku akitoa Asali ka ana undugu na Nyuki mana hakuachi umlogee bwana ake hvihvi --
 
Tangu kuzaliwa cjaona ngoz ya sungura kubambwa ng'oma! Utakiona cha moto,hata nje utakuwa htoki! Ni wivu kw kwenda mbele.....! Mamilimo boooh...!
 
Jiandae kupokea wageni
kila siku,tena sio wakukaa siku moja au mbili.Wanakaa miezi au miaka.
Mara leo kaja mkwe, kesho shemeji. Haijatulia kidogo anakuja
mwingine.hadi utakoma. But the good thing is, they are humble.

Hawa wageni wasokwisha watakuwa wanyamwezi wa Malawi.
 
Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri


Wewew unachuki binafsi tu na sisi huna lolote!! Dume la kinyamwezi halijiamini?? Thubutuuuu!!!
 
Am pure nyamwezi and proud to be one, mengi ya ushirikina ni uongo!
 
Jiandae kupokea wageni kila siku,tena sio wakukaa siku moja au mbili.Wanakaa miezi au miaka. Mara leo kaja mkwe, kesho shemeji. Haijatulia kidogo anakuja mwingine.hadi utakoma. But the good thing is, they are humble.
Acha dharau mkuu! Mbona tuko poa tu bana? Hao labda wanyamwezi wa Malawi, hahaha!
 
Kweli hata mie sikushauri hata kidogo!! Wanyamwezi hawafai!! Mie nimekulia na kusoma tabora nawajua!! Achana nao lazima ulishwe dawa!! Hawajui mapenzi yoyote zaidi ya kukatika kitandani na full maushanga!! Ukioa umeoa ukoo mzima!! Sio waaminifu!! Hao na wanyaturu bure na hela juu sioi!!
 
haya mwanakungumbala feedback time; maana wametuchamba wee. Tuambie umeshindwana na huyo mdogo wetu au vipi?
Wageni weshaanza kujilundika?
Ameshawaroga wangapi katika familia yako?
Ameshakusaliti mara ngapi?

BTW usisahau kumention madhaifu yako pia!
 
Last edited by a moderator:
kaoe Bukoba kule full kujiachia maisha raha mustarehe..utakuwa unaenjoy gor the rest of your life..muhimu mapenzi yawepo ya ukweli na kijituliza na mwandani wako.
 
Wana mashepu mazuri....wataalamu sana wa kukata mauno
nilipewa vitu mm na msichana ambaye sikua na malengo ya kumuoa....siku hiyo hiyo nikatangaza ndoa
wana maneno mazuri. Wanapenda sana wageni na wakarimu sana kama Kaunga na Sikonge
 
Ila kwa uzoefu wangu kwa wanyamwezi wanapenda sana starehe kuliko maendeleo.So kama umeamua kumuoa jiandae kwa hilo
 
Wewew unachuki binafsi tu na sisi huna lolote!! Dume la kinyamwezi halijiamini?? Thubutuuuu!!!

Dume la Kinyamwezi halijiiamini ndo maana hata Aden Rage anatembea na bastola kiunoni kwenye mikutano ya vyama, je akitumwa kusimamia uchaguzi DRC si atataka AK47 tena yenye magazine mbili
 
Dume la Kinyamwezi halijiiamini ndo maana hata Aden Rage anatembea na bastola kiunoni kwenye mikutano ya vyama, je akitumwa kusimamia uchaguzi DRC si atataka AK47 tena yenye magazine mbili

Sasa yule ni mnyamwezi? Naona umesahau usemi wa wahenga kuwa "Mjasili haachi asili" tembelea asili yake huko Somalia watoto wanawinda ndege kwa bunduki.

Ulikurupuka mkuu kugeneralize tabia zetu wanyamwezi kwa kuangalia mtu mmoja tu!! Hakuna mwanaume anayejiamini kama mnyamwezi, uliza tukuelimishe mkuu!!
 
Back
Top Bottom