inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,740
- 22,490
Unyanyembe(nchi ya miembe) ni pale tabora mjini,kama umefika nadhani umeiona miembekuna tofauti gani kati ya wanyamwezi na wanyanyembe?
Unyanyembe(nchi ya miembe) ni pale tabora mjini,kama umefika nadhani umeiona miembekuna tofauti gani kati ya wanyamwezi na wanyanyembe?
FactWamefungasha sana nyuma uzuri wao hawajui kukataa ukiomba gemu
mkuu we ndio askofu jimbo katoliki rulenge,?Hawatulii na mwanamume mmoja ni wanawake wa mafiga matatu, kwa limbwata ndo wenyewe na pia kama limbwata halikamatiki kwako basi wanakudedisha.Lakini tofauti na hayo Wanyamwezi ni miongoni mwa makabila yanayojua mapenzi hapa Tanzania, mimi nashangaa watu wanasifia eti Tanga kwangu mimi mwanamke wa Kinyamwezi ni nambari one kwa mapenzi sema sasa issue ni hayo matatizo yake ya hapo juu maana mwanamume hakohoi kwa mke wa Kinyamwezi
mi mwenye mnyamwez unapowasema vibaya naumi sana "wanigwa nkoi"watani zangu hawa lazima nimwemweleke nao mkuu,nawajua kindakindaki
mi mwenye mnyamwez unapowasema vibaya naumi sana "wanigwa nkoi"
Yeah roho nyeupe hatuna hasadi,tunatake easy..ukizingua sana tunakuloga pia,tupo real sio wanafiki,tuna utu,ngozi soft,tuko hot usituonjeHihihiii,pole sana mtani,ni utani tu ila nawakaubali sana kwa roho zenu nyeupe
Yeah roho nyeupe hatuna hasadi,tunatake easy..ukizingua sana tunakuloga pia,tupo real sio wanafiki,tuna utu,ngozi soft,tuko hot usituonje
Lazma uleweHihihiii,duh,kwa hiyo mkionjwa ni watamu balaa
Kumbe unalijua hiloHihihiii,pole sana mtani,ni utani tu ila nawakaubali sana kwa roho zenu nyeupe
Wanyamwezi wengi hasa kwenye maeneo walipojazana ni wavivu wa kazi huku wanapenda sana starehe, wasengenyaji, wafitinishaji na wanafiki sana.nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
Amini nakuambia mkiacha kuloga utamu wenu utaongezeka zaidiYeah roho nyeupe hatuna hasadi,tunatake easy..ukizingua sana tunakuloga pia,tupo real sio wanafiki,tuna utu,ngozi soft,tuko hot usituonje
Mwafrika hawezi acha uchawi hivi karibuniAmini nakuambia mkiacha kuloga utamu wenu utaongezeka zaidi
Ubishi sio mzuri sanaMwafrika hawezi acha uchawi hivi karibuni