Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,100
- 8,213
Wewe kama umeshampenda muoe tu ukitaka ushauri huku utasikia mengi.
Mkuu kama ulifanikiwa kuingia kwenye ndoa naomba mrejesho maana na mimi nina wazo kama lakonina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
Mkuu ongezea nyama kidogo. Sasa wote tukiwasusa wataolewa na akina naniUsithubutu wala kujaribu kuoa mnyamwezi mkuu.
Naomba niishie hapa
Sio ukabila mkuu. Ni muhimu sana kujua. Hakuna kosa kubwa kama kukosea kuoa hasa sisi wakristoUkabila hauruhusiwi
Mi nadhani tungewapata waliooa hili kabila watatusaidia sanaWewe kama umeshampenda muoe tu ukitaka ushauri huku utasikia mengi.
wanakula sana ukimpenda mdada wa tobora jiandae kwa misosi kama maisha yenyewe ni kushindia chapati kama wazarmo umefeliHawatulii na mwanamume mmoja ni wanawake wa mafiga matatu, kwa limbwata ndo wenyewe na pia kama limbwata halikamatiki kwako basi wanakudedisha.Lakini tofauti na hayo Wanyamwezi ni miongoni mwa makabila yanayojua mapenzi hapa Tanzania, mimi nashangaa watu wanasifia eti Tanga kwangu mimi mwanamke wa Kinyamwezi ni nambari one kwa mapenzi sema sasa issue ni hayo matatizo yake ya hapo juu maana mwanamume hakohoi kwa mke wa Kinyamwezi
TafadhaliUsithubutu wala kujaribu kuoa mnyamwezi mkuu.
Naomba niishie hapa
acha utani basiwanakunya mwezi haooooooooooo,weeeeeeeeee
acha utani basi
Siku hizi kila mtu ana tabia yake usikaririnina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
chief fundikira wa itetemyawanyamwezi.....wamesomaa sana na pia watu mashuhuri sana.....katika siasa taifa hili ukiangalia watu kama akina.......
1.samweli sitta.......
2.profesa ibrahim lipumba......
3.magreth sittaaa.....
4.ismail aden rage.....
5.hamis kigwangala.....
6.hussein bashe.....
7.profesa juma kapuyaaaa
9........
kuna tofauti gani kati ya wanyamwezi na wanyanyembe?nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
Sawa...ajiandae kuwekewa limbwata...na kukaliwa na mwanamke...Sio ukabila mkuu. Ni muhimu sana kujua. Hakuna kosa kubwa kama kukosea kuoa hasa sisi wakristo
Kama tabia ndio basi kazi ipo kwa kweliSawa...ajiandae kuwekewa limbwata...na kukaliwa na mwanamke...
Uwiii...niliwahi ona mdada wa huko amemfanya mumewe zuzu....
Yani alikuwa anampiga mumewe analia kama mtoto...Kama tabia ndio basi kazi ipo kwa kweli
Aisee. Hii ni hatari sana. Ngoja huyu jamaa aje kuleta mrejesho hapaYani alikuwa anampiga mumewe analia kama mtoto...
Anatembea na vijana wadogo...mumewe anaona ila ndio kawekwa limbwata
Weka kapicha tuone mzigo ila huwa baadhi wamejaliwaSmile Mdogo wangu, reference yake ni wababa wa Kiswahili wanywa gahawa na sio kaka zangu wa Sikonge, Nzega, Ndala, Urambo ni full kujituma; muda wa majungu wautoe wapi?
Unawaonaje wachache waliomo humu jamvini?