iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,918
- 2,153
- Thread starter
- #161
Si ndio nmeuliza kujua
mda wote umekaa nae hujajua tabia zake?
mda wote umekaa nae hujajua tabia zake?
Mbona unaonekana (avatar) ni ke? Unatutisha akinamamanina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
Mbona unaonekana (avatar) ni ke? Unatutisha akinamama
Lakini hii si sawa ingawa katiba ipo kimyaHiyo ni picha tu mimi ME
Wanyamwezi ni wavivu kufanya kazi,wepesi kuridhika na hali yoyote ya maisha,wepesi kudanganywa/kuibwa,wanayajua mapenzi kitandani na hata nje ya kitanda,wajuzi wa kutunza familia,wanapenda majungu na kusengenyana,hawapendi kuacha asili yao kirahisi hasa tiba za kienyeji,maendeleo hayana kipaumbele sana kwao n.k (nikizikumbuka nyingine nitakwambia)
kwenye libwata umetusingizia mkuu, hatuko hivyo
Sio kweli kabisa nahisi wewe ndivo ulivo bwana.
Nina kaka yangu mtoto wa baba mdogo alienda kufanya biashara Tabora maeneo ya Skonge kwa Wanyamwezi asilia.Aliacha home mke na watoto na kufika Skonge akapata mwanamke wa Kinyamwezi,ndugu cuchi nakuambia ukweli alikaa Skonge muda wa miaka minne bila hata kutuma barua wala hata shilingi kumi ya kussuport familia.Kilichofuata ilibidi ndugu zangu wamfuate kwa nguvu huko Skonge na kumrudisha nyumbani lakini hata hivo baada ya kufika nyumbani alikaa wiki mbili akarudi tena Skonge kwa mke wake wa Kinyawezi ndugu wakamfuata tena wakamrudisha nyumbani lakini wakati wanamrudisha yule mwanamke wa Kinyamwezi akawaambi kuwa kama mmeng'ang'ana haina shida nyie mchukueni tu lakini jua kuwa ameniacha huku nyuma na watoto wawili,familia ikasema watoto si shida itatoa hela ya kuwasupport.Huyo ndugu yangu alivofikishwa nyumbani alikufa within 3 weeks na siku anakufa alitapika dagaa,so Wanyamwezi kuanzia siku hiyo sina hamu hata kidogo
dah ahaaaa KIKUNGU Sikonge The Boss kwa hili sina hamu na nyie tenaNina kaka yangu mtoto wa baba mdogo alienda kufanya biashara Tabora maeneo ya Skonge kwa Wanyamwezi asilia.Aliacha home mke na watoto na kufika Skonge akapata mwanamke wa Kinyamwezi,ndugu cuchi nakuambia ukweli alikaa Skonge muda wa miaka minne bila hata kutuma barua wala hata shilingi kumi ya kussuport familia.Kilichofuata ilibidi ndugu zangu wamfuate kwa nguvu huko Skonge na kumrudisha nyumbani lakini hata hivo baada ya kufika nyumbani alikaa wiki mbili akarudi tena Skonge kwa mke wake wa Kinyawezi ndugu wakamfuata tena wakamrudisha nyumbani lakini wakati wanamrudisha yule mwanamke wa Kinyamwezi akawaambi kuwa kama mmeng'ang'ana haina shida nyie mchukueni tu lakini jua kuwa ameniacha huku nyuma na watoto wawili,familia ikasema watoto si shida itatoa hela ya kuwasupport.Huyo ndugu yangu alivofikishwa nyumbani alikufa within 3 weeks na siku anakufa alitapika dagaa,so Wanyamwezi kuanzia siku hiyo sina hamu hata kidogo
Wew umenena.kwani tabia inabebwa na kabila??
mzazbzab mgegedaji sana huyu hapana
Mtoboasiri naye miguu kama tuthipik nishampa talaka
KIKUNGU eeh :becky:
Hujasoma bandiko la Sikonge, msemo huo umebadilika umekuwa "mzigo mzito anao mnyamwezi" sasa rafiki utaweza himili kitu ya kaka yangu weye?
Unaonaje nikimstua mzabzab tu kabla sijamwita KIKUNGU na Mtoboasiri!
Asikudanganye huyo Kongosho dada yangu mwenyewe. Anatujua tena vizuri tu.
Una ubavu wa kunipa talaka we? Na acha kujishaua hapa, hiyo miguu yangu kwanza ndiyo inayokutia wazimu!
Afu wewe?!!!
Umekuwa mjeuri siku hizi??
Tangu Bishanga afulie hela ya intanet basi unajiamini, nitatafuta buzi jipya ujue?