Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Wana mashepu mazuri....wataalamu sana wa kukata mauno
nilipewa vitu mm na msichana ambaye sikua na malengo ya kumuoa....siku hiyo hiyo nikatangaza ndoa
wana maneno mazuri. Wanapenda sana wageni na wakarimu sana kama Kaunga na Sikonge

nakuunga mguu mkuu!
 
Sasa yule ni mnyamwezi? Naona umesahau usemi wa wahenga kuwa "Mjasili haachi asili" tembelea asili yake huko Somalia watoto wanawinda ndege kwa bunduki.

Ulikurupuka mkuu kugeneralize tabia zetu wanyamwezi kwa kuangalia mtu mmoja tu!! Hakuna mwanaume anayejiamini kama mnyamwezi, uliza tukuelimishe mkuu!!

Du ina maana tuna mbunge wa nchi nyingine, hongera kwa kunifumbua macho mkuu
 
wanyamwezi.....wamesomaa sana na pia watu mashuhuri sana.....katika siasa taifa hili ukiangalia watu kama akina.......

1.samweli sitta.......
2.profesa ibrahim lipumba......
3.magreth sittaaa.....
4.ismail aden rage.....
5.hamis kigwangala.....
6.hussein bashe.....
7.profesa juma kapuyaaaa
9........
 
yheeeey mwanike la konyumba lisogah.........
 
mapenzi yalizaliwa tanga yakalelewa na kukulia unyamwezini tabora
 
Piga magoti umuombe Mungu akuepushe na hilo balaa. Hao ndio Wazaramo wa Bara.

Kwa uswahili (tabia za masengenyo, ushirikina na uvivu) Mnyamwezi ni namba moja huko Bara akifuatiwa na watani zangu Waha.

Jiandae kumlea baba mkwe. Kwa anayewajua Wanyamwezi atakubaliana na mimi kuwa ni watu wasiojua vibaya. Hata kama mna chumba kimoja, basi baba mkwe haoni shida kushea na nyinyi, unless awe amepata elimu dunia kidogo japo haimbadilishi sana.

Mashemeji zako ambao hata ni wakubwa kwa mkeo watatinga kufunga kambi kwako endapo utathubutu kujionesha ni bingwa wa kuwapa milo mitatu kwa siku, na hiyo haijalishi kuna vyumba vingapi. Wao hulala hata wa4 kitanda kimoja kama watoto.

Kwetu sisi ni matusi kulala kwenye nyumba ambayo binti yako anakamuliwa kipele lkn kwa hawa watu, nimevua kofia. Baba anaishi alikoolewa binti yake mwaka wa 5 sasa, hadi amekuwa sehemu ya familia.

Nakubaliana na wewe ndugu... hawa watu ni waswahili sijapata kuona, na hawana haya haswaaaa when it comes to using ur things! Penye hela wanajiweka all in the name ya kupenda undugu... wavivuuuuu na majungu wanapenda. Mnyamwezi mwanaume balaa zaidi ya mwanamke, hakuna maendeleo anasubiri uchume umlishe yeye!
 
wanyamwezi.....wamesomaa sana na pia watu mashuhuri sana.....katika siasa taifa hili ukiangalia watu kama akina.......

1.samweli sitta.......
2.profesa ibrahim lipumba......
3.magreth sittaaa.....
4.ismail aden rage.....
5.hamis kigwangala.....
6.hussein bashe.....
7.profesa juma kapuyaaaa
9........

Kama ni hivi basi kisomo hakija wasaidia wanyamwezi. Wangebaki makuli tu.
 
Kwa ndumba ndo wenyewe!!!!!!!

Hivi kumbe ya kweli. Eti ukiingia hapo mwanaume limbwata kwa kwenda mbele. Utadeki, kufua, kuosha vyombo na bado haki ya kikatiba utapata anapojisikia maana anakuwa anatoa nje baada ya kukufanya boya la ndani.
 
wanyamwezi.....wamesomaa sana na pia watu mashuhuri sana.....katika siasa taifa hili ukiangalia watu kama akina.......

1.samweli sitta.......
2.profesa ibrahim lipumba......
3.magreth sittaaa.....
4.ismail aden rage.....
5.hamis kigwangala.....
6.hussein bashe.....
7.profesa juma kapuyaaaa
9........


Hapo wanyamwezi per se ni watatu at most - Sitta, Lipumba na Hamisi
 
Hebu mtuache tupumue!!!
Muoaji kweli ataoa tu bila kuweka bandiko jf!
 
Ni kweli wengi wao wajanja wajanja kwenye ndoa, ila kama uko nae lazima utavuta home.
 
Usithubutu wala kujaribu kuoa mnyamwezi mkuu.
Naomba niishie hapa
 
Back
Top Bottom