Fighter
JF-Expert Member
- Aug 30, 2009
- 615
- 153
Piga magoti umuombe Mungu akuepushe na hilo balaa. Hao ndio Wazaramo wa Bara.
Kwa uswahili (tabia za masengenyo, ushirikina na uvivu) Mnyamwezi ni namba moja huko Bara akifuatiwa na watani zangu Waha.
Jiandae kumlea baba mkwe. Kwa anayewajua Wanyamwezi atakubaliana na mimi kuwa ni watu wasiojua vibaya. Hata kama mna chumba kimoja, basi baba mkwe haoni shida kushea na nyinyi, unless awe amepata elimu dunia kidogo japo haimbadilishi sana.
Mashemeji zako ambao hata ni wakubwa kwa mkeo watatinga kufunga kambi kwako endapo utathubutu kujionesha ni bingwa wa kuwapa milo mitatu kwa siku, na hiyo haijalishi kuna vyumba vingapi. Wao hulala hata wa4 kitanda kimoja kama watoto.
Kwetu sisi ni matusi kulala kwenye nyumba ambayo binti yako anakamuliwa kipele lkn kwa hawa watu, nimevua kofia. Baba anaishi alikoolewa binti yake mwaka wa 5 sasa, hadi amekuwa sehemu ya familia.
Sijui wanyamwezi gani unawaongelea mkuu!!! we wakizamani sana!!