Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Anaewajua wanyamwezi anisaidie

Ngoja uje upate Kanyamwezi kakufunge Kanga na ukilegea tu kanakuchapa Masaburi "fanya kazi wee......"
Haya
1. Wavivu.
2. Wanapenda mapenzi.
3. Washirikina ( limbwata linakuhusu ).
4. Mabishoo yani ma sister doo.

ila yote haya jalisha kwamba mupenzio anatabia hizo
5. Sio wavumilivu.

Usiwe mmbaguzi wewe , ukiwa unaangalia makabila huto pata jiko
 
Hamna ndumba bana, weee vipi?

Hujasikia wimbo wa Kinyamwezi kwenye maharusi yetu maana huwa tunaimba ".....nalitumila ndumba ya kumlomo....."
Kaunga dada yangu atakuwa shahidi kuwa maana yake ni "....ninatumia ndumba ya mdomoni......"

Wanyamwezi tuna maneno matamu na nyororo................ "..... hihihiiiii, ndiyo Padili....."

Kumlomo na vitendo pia!!!!
 
wana paa usiku

kila mtu ni unique, kuna wakaskazini wako fit kwa ndumba siku hizi
 
hawatulii na mwanamume mmoja ni wanawake wa mafiga matatu, kwa limbwata ndo wenyewe na pia kama limbwata halikamatiki kwako basi wanakudedisha.lakini tofauti na hayo wanyamwezi ni miongoni mwa makabila yanayojua mapenzi hapa tanzania, mimi nashangaa watu wanasifia eti tanga kwangu mimi mwanamke wa kinyamwezi ni nambari one kwa mapenzi sema sasa issue ni hayo matatizo yake ya hapo juu maana mwanamume hakohoi kwa mke wa kinyamwezi
na wanaume mkuu maona naona una degree ya kinyamwezi
 
na wanaume mkuu maona naona una degree ya kinyamwezi

Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri
 
Umenikumbusha, story niliyopewa na bibi yangu ya nyama ya ulimi!
Maneno matamu, chakula kitamu, mchezo mtamu ndio ndumba za wanyamwezi!

MIMI Kama myamwezi ,Vingi wametaja wenzangu 90% ni kweli jamani,Pia wanapenda sifa,sio kujisikia bali kusifiwa kwa jambo alitendalo tena sana,wanapenda kusoma pia.mapishi,mapenzi,kazi.
 
MIMI Kama myamwezi ,Vingi wametaja wenzangu 90% ni kweli jamani,Pia wanapenda sifa,sio kujisikia bali kusifiwa kwa jambo alitendalo tena sana,wanapenda kusoma pia.mapishi,mapenzi,kazi.
Hata ndumba kama alivosema Evelyn Salt?
 
Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri
Sio kweli kabisa nahisi wewe ndivo ulivo bwana.
 
Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri[/QUOTE Sikonge NA Kaunga naombeni ushahidi hapa
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe unasemea waswahili wa mjini eti ndio wanyamwezi; hao waliochakachuliwa na waarabu? Hao ni waswahili tu kama wa bwagamoyo, nenda ndani ndio utakuta kaka zangu waliopanda kinywamwezi!
Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri
 
Smile Mdogo wangu, reference yake ni wababa wa Kiswahili wanywa gahawa na sio kaka zangu wa Sikonge, Nzega, Ndala, Urambo ni full kujituma; muda wa majungu wautoe wapi?

Unawaonaje wachache waliomo humu jamvini?
 
Last edited by a moderator:
Nimewapiga sana watoto wa kinyamwezi enzi nasoma pale Mirambo High School , kule tena wale wa bachu kule na kanyenye na ivi kuna mashombe shombe kutoka Itobo nimewachapa nao hadi nimeacha katoto kamoja kule, sasa ivi kapo chekechea. Kwa utamu ni watamu
Ngoja uje upate Kanyamwezi kakufunge Kanga na ukilegea tu kanakuchapa Masaburi "fanya kazi wee......"
 
Hawatulii na mwanamume mmoja ni wanawake wa mafiga matatu, kwa limbwata ndo wenyewe na pia kama limbwata halikamatiki kwako basi wanakudedisha.Lakini tofauti na hayo Wanyamwezi ni miongoni mwa makabila yanayojua mapenzi hapa Tanzania, mimi nashangaa watu wanasifia eti Tanga kwangu mimi mwanamke wa Kinyamwezi ni nambari one kwa mapenzi sema sasa issue ni hayo matatizo yake ya hapo juu maana mwanamume hakohoi kwa mke wa Kinyamwezi

nakuunga mikono na miguu aisee!!!
 
Back
Top Bottom