Anadhani aki-post atanishtua

Anadhani aki-post atanishtua

Unateseka ukiwa pande zipi?!

Acha kusingizia kufa Dogo, wakati hata kusingizia kuzimia inaonesha wazi kwamba huwezi!
I wish ungekuwa waona jinsi nilivo relax mkuu.

Dogo hanisumbuiii kabisaaa
 
Dogo mwanachuo tafuta fwedhaa, tafuta pesa, tafuta hela. Acha kutongoza vitoto vidogo viimba kwaya.
Tatizo moyo kaka, afu tabia za mke kabisa.

Dogo alikuwa ananambia Hadi habari za bible ananambia nisome bible, kifupi mtoto mzuri.
 


Hapana mie siteseki lakin naona behavioral changes zake since that day
Wewe ndiyo mwenye tatizo, hasa pale unapojibu bila uangalifu. Majibu yako siyo mazuri na yanamkera. Yeye atajuaje unatania au umemaanisha kweli kiutani. Pia usidhani kila mtu anajuwa maana za kila emoji. Wakati mwingine unasoma msg kabla ya kuona emoji na ikiwa mbayo huendelei kuangalia lingine.

Kuhusu mchango, kwa nini ukurupike kumwambia ukiwa na shida ndiyo unanitafuta! After all, wewe ndiyo ulimpigia sasa yeye kukumbushia mchango kuna ubaya gani. Ungeweza ukamjibu hujapata, lakini ukamjibu kikaidi. Mtu kama wewe unaongea bila kuwa na hisia kuwa unachosema kina''hurt feelings..za yule unayeongea naye. In short, you are inconsiderate, hateful, self-serving, snobbish, and above arrogant.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom