The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,926
- 4,938
- Thread starter
- #161
Nakapenda badoo[emoji25][emoji4]I still care about her!! That's the truth.. funga vioo songa mbele
Nakapenda badoo[emoji25][emoji4]I still care about her!! That's the truth.. funga vioo songa mbele
Namzimikia sema naogopa kuzama afu mwishowe AJe anipige tukiooWee mwenyewe unaonekana humzimikii kivile ndo maana pia unatafutaga vijisababu vya kumuondoa, ni vema ukamuacha na maisha yake kwani we si unaye ambaye umemfia
Mkuu where have u been [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzi wote mrefu hivi kwa mtu ASIYEKUSTUA?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie watoto mna vituko
Ndoivo.. huna namna mtafute muyajenge kabla hajamove on mazima!Nakapenda badoo[emoji25][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanamme haachwi ananuniwa daaahStori za Fesibuku na wapenzi wake....
Mkuu tafuta hela,, Mwanaume haachwi, ananuniwa tu..
Sawa dadaaaNdoivo.. huna namna mtafute muyajenge kabla hajamove on mazima!
[emoji23][emoji23]lakini nahitaji ushauri wako piaaaVijana wa chuo mkishapokea mabumu mnaanza sumbua mitandaoni
Inatafakaishaa[emoji58][emoji58]Habari za muda!
Kwa wale wote mnaolalamika kwamba story ni ya kitoto, please nendeni jukwaa la siasa, hamjaitwa humu. Picha haihusiani na nilicho andika [emoji116][emoji116]View attachment 2015621
Wakati mwingine hizi dini n kichaka! Kulikuwa na mwamba fulani dini kinyama bt alivyobadilika sikutegemeaTatizo moyo kaka, afu tabia za mke kabisa.
Dogo alikuwa ananambia Hadi habari za bible ananambia nisome bible, kifupi mtoto mzuri.
Yawezekana mkuuu, kuna dogo mmoja ni mtoto wa pastor lakini mambo yake sio poaaWakati mwingine hizi dini n kichaka! Kulikuwa na mwamba fulani dini kinyama bt alivyobadilika sikutegemea
Seen