Anadhani aki-post atanishtua

Anadhani aki-post atanishtua

Nimecomment kukutukana ila nikafuta. Sema ni utoto wa akili, mwaka jana nami nilichangia uzi flani wa kitoto wakanishushua nikajiona boya sana. Miaka mitatu baadae utaona hizi nyuzi zako ujione ulivyokuwa fala yani unaita wafu JF kuwaeleza 'dogo' alivyokupiga kibuti uko Facebook
[emoji28][emoji28][emoji28]
Sio kibuti hajanipigia ni vile amefanya wrong turn na anashindwa ku reverse
 
Ahsante sana Noelia...

Na hapa wamekutana kisichana na kivulana vinajaribu kutishiana nyau...
[emoji1][emoji1]aiseee hii nchi ngumu sana.

May be her love blinded me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom