Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,931
- 31,665
Nifuatilie post zilizo fuata chini utanielewa, nimejadili na kujibu hiyo hoja yako.huelwi.. hakuna wizara iliyopata bujet yake kwa alau asilimia 80
Nifuatilie post zilizo fuata chini utanielewa, nimejadili na kujibu hiyo hoja yako.huelwi.. hakuna wizara iliyopata bujet yake kwa alau asilimia 80
Nasema hii si sawa na anachokifanya mh. Rais ni political entrepreneurship kwa maslahi yake binafsi. Kwamba tuone kwamba Mawaziri hawana msaada na ni bogus ilihali yeye ndio kikwazo.
Slow down, tiger!Pumbavu! Unaambiwa wizara hazipewi fedha! Huelewi nini hapo? Anatembea na fedha za umma mfukoni kama zake binafsi!!
Shithole!
Mpaka umri huo haujui hata kusoma,kutafakari,kuchambua na kutoa mnyumbulisho wa andiko?You people of today,huu ushabiki mnaupeleka wapi?Ni wa hivyo!Kaeleza kwamba kuna mtu anatembea na mabulungutu ya fedha akigawa hobelahobela(hatujui,labda ni comedy hupangwa).Na ameeleza kuwa katika wizara fedha zinazopelekwa ni chache kukidhi mahitaji ya msingi.Sasa ulitaka akueleze nini?Magufuli na serikali yake wanapaswa kupeleka fedha za kutosha katika wizara ili changamoto zitatuliwe nchi nzima.Na wala si kutoa donodono kisanii.Sijui umeelewa au bado unajitia shingo ngumu?Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
una uhakika haziliwi?Hizo zilizopangia huko nyingi zinaliwa tu na hakuna kinachofanyika......afadhali hata hizo anazosaidia hadharani zinajenga na haziliwi.
Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
Mapinzi daimaWakuu nawasalim.
Nimefuatilia ziara za Rais alizozifanya katika mikoa mbali mbali na hata hii ziara yake anayoifanya Mbeya.
Rais akitembea na pesa nyingi sana tena cash kwa ajili ya kugawa njiani baada ya kuelezwa na wanachi kero mbali mbali.
Mathalani Rais akisikia kero ya kutomaliziwa ujenzi wa madarasa , choo cha shule au Zahanati basi haraka sana hutoa pesa taslim milioni kadhaa.
Wakati Rais akitembea na cash kubwa ushahidi upo kwamba wizara kadhaa zimekuwa hazipewi pesa kulingana na bajeti zake zilizowasilisha bungeni ili kuweza kutatua changamoto mbali mbali za zinazogusa wizara husika.
Kero ambazo Mh. Rais anataka tuone akizitatua na hivyo kujijenga yeye binafsi na kujizolea umaarufu ni kero ambazo anazisababisha yeye mwenyewe kwa namna anavyotumia vibaya pesa za umma.
Wizara zina ukata ilihali yeye anatumia mapesa mengi kwa utashi wake binafsi kujenga au kununua vitu visivyokatika plans za wizara yoyote ile na wala pesa hizo hazijaidhinishwa na bunge matumizi yake.
Nasema hii si sawa na anachokifanya mh. Rais ni political entrepreneurship kwa maslahi yake binafsi. Kwamba tuone kwamba Mawaziri hawana msaada na ni bogus ilihali yeye ndio kikwazo.
NAWASILISHA.
Kama kuna pesa zinaliwa serikalini basi uongozi wa Jiwe, utakuwa ni udhaifu wa hali ya juu. Inatakiwa aweke mfumo utakaodhibiti ufujaji wa pesa za umma badala ya kutembea na mabulungutu ya pesa . Vingenevyo itakuwa kazi imemshinda.Hizo zilizopangia huko nyingi zinaliwa tu na hakuna kinachofanyika......afadhali hata hizo anazosaidia hadharani zinajenga na haziliwi.
Nakubaliana nawe kuhusu kutotekeleza bajeti kwa asilimia kubwa.
Turudi ktk swali langu la msingi kwanini wabunge wanapitisha bajeti ya wizara husika?
Bunge kwa maana ya wabunge wana wajibu wa kuiwajibisha serikali ktk utekelezaji na uwajibikaji ktk mambo yanayo pitishwa na wabunge au yaliyopo kisheria.
Wabunge hasa wa CCM hawajitambui au hawajui majukumu na wajibu wao kwa wanao wawakilisha.
Unaeneza UZANDIKIWakuu nawasalim.
Nimefuatilia ziara za Rais alizozifanya katika mikoa mbali mbali na hata hii ziara yake anayoifanya Mbeya.
Rais akitembea na pesa nyingi sana tena cash kwa ajili ya kugawa njiani baada ya kuelezwa na wanachi kero mbali mbali.
Mathalani Rais akisikia kero ya kutomaliziwa ujenzi wa madarasa , choo cha shule au Zahanati basi haraka sana hutoa pesa taslim milioni kadhaa.
Wakati Rais akitembea na cash kubwa ushahidi upo kwamba wizara kadhaa zimekuwa hazipewi pesa kulingana na bajeti zake zilizowasilisha bungeni ili kuweza kutatua changamoto mbali mbali za zinazogusa wizara husika.
Kero ambazo Mh. Rais anataka tuone akizitatua na hivyo kujijenga yeye binafsi na kujizolea umaarufu ni kero ambazo anazisababisha yeye mwenyewe kwa namna anavyotumia vibaya pesa za umma.
Wizara zina ukata ilihali yeye anatumia mapesa mengi kwa utashi wake binafsi kujenga au kununua vitu visivyokatika plans za wizara yoyote ile na wala pesa hizo hazijaidhinishwa na bunge matumizi yake.
Nasema hii si sawa na anachokifanya mh. Rais ni political entrepreneurship kwa maslahi yake binafsi. Kwamba tuone kwamba Mawaziri hawana msaada na ni bogus ilihali yeye ndio kikwazo.
NAWASILISHA.
Ukisikia uzumbukuku ndiyo huu wa kwako!Kuonesha unajadili vitu usivyo vijua tena upo kishabiki ni kama hivyo ulivyo shindwa kitambua kuna fungu ambalo linapitishwa kwa ajili ya raisi ambalo bunge au sheria havimpangii namna atakavyo tumia.
Sheria haisemi vitu specific ambavyo hiyo pesa inaenda kutumika.
Kama ungefuatilia mambo ungemuelewa pia Mh. Chenge alipombana Mh. Mnyika kuhusu raisi kubadili matumizi ya pesa flani ya bajeti.
Namchukia sana Chenge kwa kashifa zake lakini yule mzee alikuwa sahihi na anajua sana sheria kiasi kwamba sasa naelewa kwanini hakuna mtu au mamlaka aliye/iliyo thubutu kumfikisha mahakamani.
Hata ktk bajeti za kampuni iwe binafsi au ya umma kuna petty cash inayo tumika kwa mambo ambayo hayakuandikwa au kuanishwa ktk bajeti wakati wa kuomba pesa.
Pumbavu!Umeona ukitukana ndio unaeleweka vizuri hoja yako?
Endelea kunitukana tena hadi uridhike kisha njoo uje usome vizuri hoja yangu na unieleweshe vizuri nikuelewe.
Kama hilo tusi lako ni dogo au unahisi halitoshi kuniumiza nafsi basi niongezee tusi jingine kubwa zaidi, ukimaliza tuanze kujenga hoja kistaarabu au kama watu walio elimika.
I ain't gonna make my arguments like a rough neck nigger. Only embeciles with no logical arguments prefers brute force to push their arguments. Looks like you don't have a finesse for these kinds of intellectual debates!
Don't force a square peg in a round hole!
Matatizo ni mengi, kila sehemu kuna udhaifu. Hilo bunge nalo ovyo tuu kwani linapopitisha bajeti huwa halijui kwamba hazina hakuna fedha? Kila mwaka wanapitisha bajeti hewa. Ikibidi kama hawana umuhimu wapumzike tuishi kijeshijeshi tuu.Labda hufuatilii mirejesho ya bajeti zilizopita.. Kwa taarifa tu, bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka 2017/2018, pesa zilizolewa hazikuzidi nusu bajeti iliopitishwa.. That means, kama Wizara ya mambo ya ndani iliomba bilioni 500, basi pesa iliyotolewa haikuzidi bilioni 250.. Kwa hiyo shida haiko kwa bunge, shida iko huko Hazina, ambapo pesa zinapotakiwa zitoke..
Ndo maana wanaita "Makadilio ya makusanyo na matumizi" Kuweka neno makadilio sawa na neno utabili tu, Ukipata chote sawa utatumia kama ulivyopanga lakini ukipata kichache itakupasa kujibana na hiko kidogo..! Hatujawai kufikia lengo kwenye ukusanyaji wa mapato, Bajeti jumla utasikia Trillion 37 mwisho wa mwaka wa fedha mumekusanya Trillion 20.Nakubaliana nawe kuhusu kutotekeleza bajeti kwa asilimia kubwa.
Turudi ktk swali langu la msingi kwanini wabunge wanapitisha bajeti ya wizara husika?
Bunge kwa maana ya wabunge wana wajibu wa kuiwajibisha serikali ktk utekelezaji na uwajibikaji ktk mambo yanayo pitishwa na wabunge au yaliyopo kisheria.
Wabunge hasa wa CCM hawajitambui au hawajui majukumu na wajibu wao kwa wanao wawakilisha.
akija kiongozi mwingine naye akatumia mfumo huo huo msianze kulalamikaHizo zilizopangia huko nyingi zinaliwa tu na hakuna kinachofanyika......afadhali hata hizo anazosaidia hadharani zinajenga na haziliwi.
Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
anazitoa wapi? utaniambia mshahara wake, anapokea sh.ngapi?Kwa hiyo akiwa na za kwake nazo apeleke wizalani?
Kacheze nje watoto wenzako wanacheza huko hapa wanaongea wakubwa wizala ndio nini?Hudhuria kwanza elimu ya watu wazima au MEMKWA.Kwa hiyo akiwa na za kwake nazo apeleke wizalani?