Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
ili magufuli na genge lake la wezi wazidi kujineemesha watazitema hizo pesa muda si mrefuLIPENI KODI SIYO KULALAMIKA
Umejiunga mwaka jana tu mkuu. Inabid uwe mpole ndio utaelewa kwamba mada moja huweza kuwa na hoja zaidi ya moja. Usigandishe mawazo yako kwenye figure tu bali fikiri pia hoja zingine ndani ya mada.Jukwaa mara ya kwanza najiunga niliamini ni GT wote kumbe kwa sasa limevamiwa na layman haswa.
Nyuzi kama hii kweli utasema ni GT?
Muulize kama anatembea na hesabu vizuri kabla hajaleta huu upupu,,mkoa wa mbeya kagawa billion ngapi,?
Kuna watu niliwa quote baada ya kuona wanaunga mkono juhudi za jiwe kugawa hela kwenye miradi ya serikali wakati pesa za hiyo miradi ziko kwenye bajeti.Ni kweli fedha anagawa yeye lakini hafuati bajeti iliyoidhinishwa na bunge!!
Hujanishawishi,labda wengineUmejiunga mwaka jana tu mkuu. Inabid uwe mpole ndio utaelewa kwamba mada moja huweza kuwa na hoja zaidi ya moja. Usigandishe mawazo yako kwenye figure tu bali fikiri pia hoja zingine ndani ya mada.
Kwa nini kero zimsubiri yeye?
Jibu ni kuwa wizara husika zinashindwa kukamilisha miradi sababu ya ukosefu wa fedha ilihali yeye anadai serikali ina mapesa mengi. Mengine anagawa mengine anafuja kwa manunuzi yasiokidhi sheria.
Sasa hivi hatuna serikali bali tuna dikteta Magufuli!Nashauri Bunge lisiwwepo kabisa,maana pesa hupotea Sana kwa kuendesha Bunge afu Bunge kwa kipindi cha Mr stone ni useless kabisa!
Haliisimamii serikali,likitunga Sheria ni kwa maelekezo toka juu,likiidhnisha bajeti haifuatwi!
Bunge halijakosa Meno Tu Bali hata miguu ila Lina tumbooo kuubwa!
Bahati mbaya ndivyo anavyo amini yeye sii raisi ni mungu mtu, hela zake madaraka yake na watanzani wote wakeWakuu nawasalim.
Nimefuatilia ziara za Rais alizozifanya katika mikoa mbali mbali na hata hii ziara yake anayoifanya Mbeya.
Rais akitembea na pesa nyingi sana tena cash kwa ajili ya kugawa njiani baada ya kuelezwa na wanachi kero mbali mbali.
Mathalani Rais akisikia kero ya kutomaliziwa ujenzi wa madarasa , choo cha shule au Zahanati basi haraka sana hutoa pesa taslim milioni kadhaa.
Wakati Rais akitembea na cash kubwa ushahidi upo kwamba wizara kadhaa zimekuwa hazipewi pesa kulingana na bajeti zake zilizowasilisha bungeni ili kuweza kutatua changamoto mbali mbali za zinazogusa wizara husika.
Kero ambazo Mh. Rais anataka tuone akizitatua na hivyo kujijenga yeye binafsi na kujizolea umaarufu ni kero ambazo anazisababisha yeye mwenyewe kwa namna anavyotumia vibaya pesa za umma.
Wizara zina ukata ilihali yeye anatumia mapesa mengi kwa utashi wake binafsi kujenga au kununua vitu visivyokatika plans za wizara yoyote ile na wala pesa hizo hazijaidhinishwa na bunge matumizi yake.
Nasema hii si sawa na anachokifanya mh. Rais ni political entrepreneurship kwa maslahi yake binafsi. Kwamba tuone kwamba Mawaziri hawana msaada na ni bogus ilihali yeye ndio kikwazo.
NAWASILISHA.
hizo m5 kazitoa mara ngapi? umewai ona wapi hiki anachofanya bwana pombe, huwez saidia matatizo ya jamii kwa kumpa mtu 1/1 pesaUkimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
Shida iko ka mungu mtu yeye ndiye kajipa madaraka ya kutumiaLabda hufuatilii mirejesho ya bajeti zilizopita.. Kwa taarifa tu, bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka 2017/2018, pesa zilizolewa hazikuzidi nusu bajeti iliopitishwa.. That means, kama Wizara ya mambo ya ndani iliomba bilioni 500, basi pesa iliyotolewa haikuzidi bilioni 250.. Kwa hiyo shida haiko kwa bunge, shida iko huko Hazina, ambapo pesa zinapotakiwa zitoke..
huelwi.. hakuna wizara iliyopata bujet yake kwa alau asilimia 80Kwani jeshi la polisi halina bajeti ya stationaries?
Kama ipo, hiyo pesa imeenda wapi?
Kama haitoshi na bunge linapitisha hiyo bajeti nani wa kulaumiwa kati ya raisi, wizara na wabunge?
Labda hufuatilii mirejesho ya bajeti zilizopita.. Kwa taarifa tu, bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka 2017/2018, pesa zilizolewa hazikuzidi nusu bajeti iliopitishwa.. That means, kama Wizara ya mambo ya ndani iliomba bilioni 500, basi pesa iliyotolewa haikuzidi bilioni 250.. Kwa hiyo shida haiko kwa bunge, shida iko huko Hazina, ambapo pesa zinapotakiwa zitoke..
Pesa zipo lakini zinakuwa diverted kwenda kwenye matumizi mengine kinyume na sheria na katiba ya nchi..Hazina wana pesa halafu hawazitoi?
Pesa zipo lakini zinakuwa diverted kwenda kwenye matumizi mengine kinyume na sheria na katiba ya nchi..
Exactly..Huo ni upande mmoja tu wa shilingi,upande mwingine ni kwamba pesa hazitoshi pia na vipaumbele vyetu havijulikani ni vipi.
Acha ujinga! Umeona wapi makabidhiano ya pesa hizo kimaandishi? Je kama anatoa kwa mkono wa kulia kisha anawatuma walinzi wake wanazizungukia na kumrudishia je?Hizo zilizopangia huko nyingi zinaliwa tu na hakuna kinachofanyika......afadhali hata hizo anazosaidia hadharani zinajenga na haziliwi.
Umeona ukitukana ndio unaeleweka vizuri hoja yako?Pumbavu! Unaambiwa wizara hazipewi fedha! Huelewi nini hapo? Anatembea na fedha za umma mfukoni kama zake binafsi!!
Shithole!
Kuonesha unajadili vitu usivyo vijua tena upo kishabiki ni kama hivyo ulivyo shindwa kitambua kuna fungu ambalo linapitishwa kwa ajili ya raisi ambalo bunge au sheria havimpangii namna atakavyo tumia.Ni kweli fedha anagawa yeye lakini hafuati bajeti iliyoidhinishwa na bunge!!