Ana ana do

Ana ana do

Mnaikumbuka na hii?iiiiiiiiki na ooooooooko na cheeeee!!kamkurumbembe kachuna ngozi ya kengeeeeeeee!!!!!tenaaaa!!!
 
Mapera Mapera
Mapera dumbwii
Tumbo linauma..
Ukienda cho*ni
Unashindwa kuhema
:loco::loco:
 
Asiependa shule ni mjinga kabisa x2
barua ikija waitembeza kutwa
 
Head and shoulders
Knees and toes
Knees and toes.....

Hiyo tulikuwa tunaipiga kiswahili
hedi shoda nilzento nilzento

Ilikuwa unaitwa mmojammoja mbele unaimba na kuonyesha hizo sehemu..ole wako ukosee lazima ukakate kuni za ticha..
 
mapera mapera
mama kapika mapera
na kifanga cha kuku
tia apa,tia apa
kama hunitaki niambie,
nikaechini nilie..............
 
ukuti2, wa................., mwenzetu2, kagongwa2 na nini2, na gari2, tumpeleke mnazi mmoja asijekusema kwa babaya yake yesa yesa yesa yeeeeeeeeeeee!
 
Ha ha ha! Nyie watu mnachekesha.
Mnaikumbuka hii:
moja nepa shauri ya mavi
2 nepa shauri ya mavi
3 nepa shauri ya mavi
4 nepa shauri ya mavi
5 nepa shauri ya mavi
6 nepa shauri ya mavi
7 nepa shauri ya mavi
8 nepa shauri ya mavi
watu weweeeeeeeeeeeeee..........:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Twinkle twinkle little star!
I wonder what ur...........!
Like a diamond in da sky....
 
Ukuti.... Ukuti....wa meme....wa meme tumpeleke mnazi mmoja asije akasema kwa baba yake.....yeeesa yeeesa yesa yesa......yeeeeeeeeeeeeeeeeeee yesa tena yeeesa....yesa..yesa yeeeeeeeeeeeeeeeeeeh yesa kidogo..............yeeeeeeeeeeeeeeeeeeehh
 
kiooo kiooo alikivunja nani......sijui sijui wa mwisho akamatwe afungwe gerezani
 
watoto wangu eeeee
mimi mama enuuu
sina nguvu tenaaaaa
za kuua simbaaaa,simba ni mkali
aliua baba,akaua mama
 
Hivi "kuchanika basto" ndo kukoje huko?

Na "ispiringi matingo" ndo lugha gani? Kiswahili kweli hicho?
 
Hii thread imenikumbusha mbali sana. Nimecheka mpaka baaaasi!! Shukrani kwa wote mliochangia.
 
Bachi bachi
bachikicha chikicha, tulikwenda kwenda kwenda
kwa mzungu zungu zungu,
tukagonga...........

anayekumbuka amalizie
 
Back
Top Bottom