Ana ana do

bitimkongwe, umesoma oysterbay au bunge? manake
mzimuni primary tulisoma omari hodari au sansana
juma na roza lol
GT

Umenikumbusha
makari hodari kaenda safari... yohoho yoo
katika safari kakuta hatari yoohooo yoho
 
bitimkongwe, umesoma oysterbay au bunge? manake
mzimuni primary tulisoma omari hodari au sansana
juma na roza lol

Na hata huyo Omari hodari pia tumesoma
Yaani mimi nimesoma shule za vijijini huko na wala siyo Dar es Salaam. Lakini enzi zilee bado ukoloni ulikuwa haujaondoka kikamilifu. Vitabu vilivyokuwa vinatumika nadhani vilikuwa kwa East African schools kwa hivyo vilikuwa ni hivyo hivyo bila ya mabadiliko.

Kama nilivyosema ilikuwa ni government school.
 
buibui kasema wainzi karibu ndanix2
nimejenga nyumba yangu ndani kote kuzuri
sitaki uchafu na mambo mengineee....

na

tembo mmoja, alijenga utandoni mwa mabuibui
alipoona ni furaha
akamwita mwenzake njoo, cham cham
 
kwa mzunguuu kwa mzunguu zunguuuuu zunguuuu

tukalala tukalala lala lala

si

siku mbili mbili mbili.
Ya tatu, ya tatu tatu tatu,
Nikasikia nikasikia sikia sikia,
Ngo ngo ngo, ngo ngo ngo ngo ngo
Wewe nani, wewe nani nani nani,
Chausiku,+chausiku siku siku,
Usinichinje...
 
Mbuga za wanyama tanzania,
Ya kwanza ni serengeti, ngorongoro manyara na mikumi
oooh tanzania oyeee!
 
turinge baiyoyo x 2
Twamuomba dada..... Aje hapa tuyaone maringo yake
Bingiribingiri mpaka chini...........
 
...dah,

naona leo mmekumbushana enzi za "...meno meno pikyu..." (L, M, N, O, P, Q) hapa!
Safi sana, tumetoka mbali. :thumb:

J'2 imeisha vizuri, kesho wiki mpya
 
...dah,

naona leo mmekumbushana enzi za "...meno meno pikyu..." (L, M, N, O, P, Q) hapa!
Safi sana, tumetoka mbali. :thumb:

J'2 imeisha vizuri, kesho wiki mpya
Hahaha mbu hii ni noma halafu tulikua twaimba kwa sauti! Meno meno pii kiu ala esti yu vi...
 
hahaha hii sredi nimecheka mpaka machozi kunitoka
Kweli ya kale ni dhahabu.
 
mwenge ooh mwenge , mbio mbio
mwenge tunaukimbiza, mbio mbio
mpaka makao makuu, mbio mbio
 
Hii ndio saa ya kwenda nyumbani
kwaheri mwalimu, kwaheri mwalimu
tutaonana keshoooooooooooo!!!!!
 
Unaikumbuka salamu hii?? Siiiiiiiiiiiiiaaaaaaaasssssa ya ubaguzi wa rangi ni unyama, shiiikamooooo ndugu mwaaaaalliiiiimu!!!! tuulikuwa tunavuta weeee hadi inaboa!!

Kwa msisitizo walimu wetu walitufundisha kwa kiingereza,
''Apatheid is a crime against humanity, good morning teacheraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa''.
 
wan tu tai mai shuu
thrii foo shat ze doa
five six kaunt ze stik
seven eiti put zem mmm hapa palikua pananishindaga mwe
nine ten a bigi fati heeeeeeeeeeen
 
Shuleeeee shuleeeeeeee
Ni kituuu boraaaaaa
Ukila samaki
Mafupa utatema
Usioogope kusema
Binadamu sio wemaaaaa
:peace::peace::peace:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom