Ana ana do

Ana ana do

Nani anakumbuka huu wa "baa baa black sheep"? Niliuimba sana huu pale IST.....

Baa, baa, black sheep,
Have you any wool?
Yes sir, yes sir,
Three bags full.

One for my master,
One for my dame,
And one for the little boy
Who lives down the lane.

Sawasawa kiongozi,
nimekusoma...
 
Nipeleke nipeleke..
Wapi? Kwa balesa kwa balesa kunani? Koni kwa mrija!!
Kilashari kilakshari pugu kariakoo!!
 
Bai sho ai lav yu bebi
ze bebi tu ze saa
ze saa tu ze yona
ze yona tu ze yuu
ze yu tu ze chuzdei...

nimecheka hadi my GF akasema lazima nione hiyo message, kaiona kacheka hadi kasema ananiamini maana alishawaza mengine
u made my day Ze Marcopolo, many thanks
 
Nani anakumbuka huu wa "baa baa black sheep"? Niliuimba sana huu pale IST.....

Baa, baa, black sheep,
Have you any wool?
Yes sir, yes sir,
Three bags full.

One for my master,
One for my dame,
And one for the little boy
Who lives down the lane.
Na hii uliimbia wwapi..Kajamba, ushuzi unanuka
 
Ule mnazi umekatika wakati wa kukatika hukatika kaati kati kati ka!!

usiutie mapengo msimeno wangu mieee!!!
 
kijani kibichiii chaa mplili pili shule yetu ina raha mama weeeeeeee iliyo kando yaa barabara kando ya elimuu yapita bila shidaaa..............


afu kuna ile ya kuaga mchana


saa imefiika ya kwenda nyumbaniii........mama amepika wali na nyamaa..


kwikwikwi jamani mmenikumbusha na zile ngoma nlivyokuaga mtaalam wa kukata mauno...lol
 
...asiyependa shuleee ni mjinga kabisaa! *2, baarua ikija,haitembeza kutwa*2 . Akiileta kwangu namsomea shoga na kumcheka kweli! Au wimbo mwingne: ...shule naipenda shule aaaa*2 kiuno changu chembamba cha kuvalia mkanda, shuuule aaa wimbo mwingne ".....maua mazuri yapeendeeeza*2 ukiyataza yaaana melemeta ,maua mazuri yapendeza....
 
Paulo usije kucheza na sisi
Una mikono michaaaaafu
Uahitaji maji na sabuni..
Una mikono michaaafu..
 
(1) Embe dodo embe dodo, limelala mchangani!
(2) Bulicheka na mkewe Lizabeta wakutana na na Mfalme Huihui wa kabila la Wagagagigikoko!
(3) Kalikenye ndani ya Gazeti la Kiongozi
9$) Simu ya Kifo na Faraji Katalambula!!
 
LOL! safi sana enzi za mabata madogo dogo yanaogeleaaaaaaa katika shamba kubwaaa la......
 
Dodoe kalichume, dodoe kalichume, embe dodo ni tamu tamu kama sukari....sasa sijui lilikua dodo hilihili au kulikua na jingine....
 
Ha ha ha! Nyie watu mnachekesha.
Mnaikumbuka hii:
moja nepa shauri ya mavi
2 nepa shauri ya mavi
3 nepa shauri ya mavi
4 nepa shauri ya mavi
5 nepa shauri ya mavi
6 nepa shauri ya mavi
7 nepa shauri ya mavi
8 nepa shauri ya mavi
 
mata koni yangu... Mata koni yangu.... Matakoni yangu.....
Mnaikumbuka hiyo?
 
Back
Top Bottom