Ana ana do

Ana ana do

Juaaa lile literemkee mamaa aiya ..iya iya iya mamma......
 
Sasa! Sasa saa ya kwenda kwetu ! Kwaheri mwalimu kwaheri! Kwaheri mwalimu kwaheri kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana KESHOOOOOOOOOO!!!!!
 
Ila jamani enzi zetu zile tulifaidi sanaaaa...mi katika michezo yote nlikua naipenda miwili zaidi,,kombolela na ile kujipikilisha
 
kombolela bikira yako ilibaki salama kweli? lol

Aisee kwenye kombololela mi nilikuwa napenda kwenda kujificha na mashori.....unamdanganya kwamba utamlinda. Basi mnatafuta kichaka au pagale mnajificha huko. What goes on there stays there....
 
Aisee kwenye kombololela mi nilikuwa napenda kwenda kujificha na mashori.....unamdanganya kwamba utamlinda. Basi mnatafuta kichaka au pagale mnajificha huko. What goes on there stays there....

si ndo namuuliza huyo
tuliocheza kombolela tunaijua lol
 
si ndo namuuliza huyo
tuliocheza kombolela tunaijua lol

hahaha! Dah! Nimemkumbuka kijana mmoja enzi hizo 2kicheza huu mchezo basi yeye lazima ninapokimbilia mimi kujificha nayeye huyo! Katinga! Nilichokuwa nafanya ili kumkwepa basi inabidi niombe pooo! Ama nijioneshe wakwanza loh! Huu mchezo hataree!!
 
Hahahaaa,umenikumbusha mbali sana,ndio wewe nini?Ila wakati mwingine tulikuwa tukijificha ile kurudi kumbe hata mchezo ulishaisha zamani watu walishatawanyika makwao!Hahaaa
 
Nani anakumbuka huu wa "baa baa black sheep"? Niliuimba sana huu pale IST.....

Baa, baa, black sheep,
Have you any wool?
Yes sir, yes sir,
Three bags full.

One for my master,
One for my dame,
And one for the little boy
Who lives down the lane.

Hahaaa. What a thread!
Ol' Mc Donald had a farm eeeya eeeya oooooh.
And on that farm he had a dog,
Eeya eeya ooooh.
A wooh wooh here and a wooh there,
Here wooh there wooh....
 
Hahaaa. What a thread!
Ol' Mc Donald had a farm eeeya eeeya oooooh.
And on that farm he had a dog,
Eeya eeya ooooh.
A wooh wooh here and a wooh there,
Here wooh there wooh....

You so shtupit.
 
hahaha! Dah! Nimemkumbuka kijana mmoja enzi hizo 2kicheza huu mchezo basi yeye lazima ninapokimbilia mimi kujificha nayeye huyo! Katinga! Nilichokuwa nafanya ili kumkwepa basi inabidi niombe pooo! Ama nijioneshe wakwanza loh! Huu mchezo hataree!!

wewe ulikuwa mjanja vinginevyo huyo jamaa angekuacha na kovu la milele
 
Hahaaa. Pale nitakukamatia I will make you sing 'em rhymes.

‘Oranges and Lemons'
say the bells of St Clements.
‘You owe me five farthings'
say the bells of St Martins.

‘When will you pay me?'
say the bells of Old Bailey.
‘When I grow rich'
say the bells of Shoreditch.

‘When will that be?'
say the bells of Stepney.

‘I do not know'
says the great bell at Bow.

Here comes a candle to light you to bed.
Here comes a chopper to chop off your head.
Chip, chop, chip, chop; the last man's DEAD!
 
Grinning shtupitly.
 
Kioo kiooo
Ali kivunja naani?
Simjuuui simjuuui

Wa mwisho akamaatwe
Atiwe gerezani

Gereza la wafungwa!!!!:sly:😀:sly:😛
 
Back
Top Bottom