Ana ana do

Kwa msisitizo walimu wetu walitufundisha kwa kiingereza,
''Apatheid is a crime against humanity, good morning teacheraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa''.
Hii ni pale mwalimu wa kiingereza alipoingia!!!
 
Ha ha ha! Nyie watu mnachekesha.
Mnaikumbuka hii:
moja nepa shauri ya mavi
2 nepa shauri ya mavi
3 nepa shauri ya mavi
4 nepa shauri ya mavi
5 nepa shauri ya mavi
6 nepa shauri ya mavi
7 nepa shauri ya mavi
8 nepa shauri ya mavi

Aaah wanikumbusha ile ya:

Baba yangu tumoja
Baba yangu tumbili!
 
Kioo kioo, alikivunja nani
simjui simjui
wa mwisho akamatwe
atiwe gerezani!


Sare sare maua
asiyejua kuchagua
kabila lake mzigua!!!


Zum zum nyukilia we
zum zum zum we mama nyukilia we
toka mbali kutafuta ua zuri la maua
zum zum zum...nyukilia we!
 
Kioo kioo, alikivunja nani
simjui simjui
wa mwisho akamatwe
atiwe gerezani!


Sare sare maua
asiyejua kuchagua
kabila lake mzigua!!!


Zum zum nyukilia we
zum zum zum we mama nyukilia we
toka mbali kutafuta ua zuri la maua
zum zum zum...nyukilia we!

Bwahahahahahaaaaaa......ebana eeeeh umenikumbusha mbali sana aiseee daaaah
 
Kioo kioo, alikivunja nani
simjui simjui
wa mwisho akamatwe
atiwe gerezani!


Sare sare maua
asiyejua kuchagua
kabila lake mzigua!!!


Zum zum nyukilia we
zum zum zum we mama nyukilia we
toka mbali kutafuta ua zuri la maua
zum zum zum...nyukilia we!

Mh!kwa hakika hii sred imenikumbusha mbali,,natamani nirejeshwe huko walau kwa dk 10
 
Yai bovu... yai bovuuu
linanuka linakuna
lina ukaje lina nukaje
prrriii chachachaaaaa

ama

wato wangu nyie.... eeh
mimi mama yenu.... eeh
sina nguvu tena.....eeh
yakumuua simba....eeh
simba ni mkali....eeh
aliuwa mama....eeh
akauwa baba...eeh
haya watoto wangu njooniiiiiiiiiiiiiii...........
 
Ukuuuuti X2
wa mnaaaazi X2
Ingia upepo watetema iyaaaaa!

By show I luv U baby
Ze baby 2 ze sir
Ze sir 2 ze owner
Ze owner 2 ze poo
malizia....
 
Halidi, Halidi na Filimoni walipendana,
na mapenzi yao yakadumu,
mwenye wivu ajinyonge, baba,
mwenye wivu, ajinyonge....
 
Aminaa beee! watoka wapi? Natoka kusoma! Kuusoma nini? Kusoma kitabu! Kitabu cha nani? Cha juma na roza! Nda shindanda shindandandanda shindanda eeeh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom