Ana ana do

Ana ana do

Hahahaaa,umenikumbusha mbali sana,ndio wewe nini?Ila wakati mwingine tulikuwa tukijificha ile kurudi kumbe hata mchezo ulishaisha zamani watu walishatawanyika makwao!Hahaaa

hahahaha! Mkuu we acha kabisa!! Usiombe hapo karibu kuwe na migomba ama nyumba inayojengwa haijaisha! Kama wewe ndo mzingaji utasuffer utatafta watu hadi jua linazama!!
 
wewe ulikuwa mjanja vinginevyo huyo jamaa angekuacha na kovu la milele

we acha The Boss huu mchezo aisee! Mmh! Lakini watoto wasikuhizi siwaoni kabisa wakicheza sijui wanacheza michezo gani.
 
Last edited by a moderator:
Mh ila mie nae nilikuwa mtundu. Tom boy kabisaaaaaa. Umenikumbusha mbali aiseee.
 
Unamkuta mtoto mdogo wa miaka 10 kanenepeana ile mbaya ana kitambi hata kukimbia tu kwa dakika 5 hawezi!!!! Enzi za utoto wetu kama shule imefungwa mkishapata kifungua kinywa tu basi ni mpira mpaka wakati wa chakula cha mchana kila mtu anarudi kwao na kusubiri saa 10 jioni mnaendelea tena na mpira. Kama hamna mpira basi mtashindana mbio wavulana na wasichana na michezo mingine chungu nzima ya kitoto ikiwemo ukuti ukuti wa mnazi wa mnazi. Watoto wa siku hizi wanaanza kupata magonjwa ya moyo kwa kuwa overweight na lack activities wakiwa wadogo sana kitu ambacho miaka ya nyuma kilikuwa hakipo.

XBox 360 na PS. Very unhealthy kwa kweli.
 
Thread ya kufungia mwaka hii!
Nimecheka sana leo! Nimekumbukahizi:

Kula tumbakishie baba...

Alifu Bee Chee Deee .. Mwalimu kavaa msulipwete!

Watoto wangu nyie,
EEeeee!
Mimi Baba yenu ..
Eeeee
Sina nguvu tena
Eeeee
Ya kuua simba
Eeee
Simba ni mkali
Eeee
Aliua Baba, Mama, .....
Malizia......

Huku na huku na do,
Asiyekula dona na nguru wa kuchoma ...........
 
:israel:
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh !
hadi raha!
ngoja niprint hii sredi yote!
nije niwafundishe wajukuu zangu!
maana watoto nishachelewa!

ILA HIVI WATOTO WA SIKU HIZI
wnajua kupika madangi kwleli?
kuendesha gari la ringi?ehehhe abiria tunashikili shati af nyuma nae anashikilia la mbele yake!ikifika wakti wa kona sasa !uuuwih!
-hawa watoto wajua habri ya mdako kweli?
-marait rong marait rong?
-kula mbakishie baba?
-huu mti gani wa mchongoma nikiukata ?haukatiki......
-wanajua kutiana masingi kweli?
-kucheza kinyuli nyuli?
-kukunja magauni kwnye pindo za chupi ili wacheze rede?
-wavulana wanajua kutengeneza vipago vya manati kweli?
-hv ule mchezo wa wavulana kuweka vioo katikati ya miguu ya wacichana kwa chini ili wajua rangi za kyupi bado ipo?
-nani siku hizi anangua mapera na maembe mabichi?
-wanajua kuna matunda yanaitwa mafuru na makungu?
-hiv siku hiz watoto wa kike bado wanachukua wadudu na kuweka kwenye chucu zao ili maziwa yawe makubwa?
-siku hizi wanasuka majani marefu yenye mizizi kweli?
mweeee Nyani Ngabu uliwaza nini kuleta hii sredi!
hiv unajua nikiangalia michezo na nyimbo watu wanazoandika humu tulikuwa tunacheza tukiwa watoto ndo imefanya vile tulivyo leo dah!
 
Wanajua kuangalia ben ten kidijital zaidi
 
Last edited by a moderator:
Wanajua kuangalia ben ten kidijital zaidi

ukihamisha utaskia 'BUT MUM ITS NOT FAIR"
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu SIKAPENDI HAKA KASENTENSI HAKA!ehehehe nimetoka kumlabua mmoja kerbu la maana siku si nying kati hapa!
 
Hahaha tatizo 80s 90s tulikuwa tunaishi either magorofani au nyumba za wazi siku hizi kila mtu kaweka nyumba yake ukuta watoto watajuana saa ngapi na kucheza hizo nyimbo.
Shule wale wa mjini zinajulikana jagwani azania zanaki kibasila makongo na nyinginezo siku hizi st nanihi ,sijui academy huko ni ben ten na mickeymouse hakuna rede.
Ni utandawazi tu
 
Watoto wengi wa leo wako kidijiti zaidi. Kwanza wanakulia ndani ya box, hawajichanganyi kama ilivyokuwa enzi zetu zamani. Mtoto akitoka getini nyumbani asbh ndani ya gari hadi shule, akiwa shuleni ni mwendo wa kulazimishwa kiinglishi cha kuunga unga. Akiruhusiwa mchana anachukuliwa kwa gari nyumbani anamkuta mwalimu wa Tuition. Akimaliza ule muda mdogo wa kupumzika kawashiwa TV anaangalia BenTen au anacheza game. Jmosi na Jpili ndo siku za kucheza games usipime. Utakuta mtoto katoa macho kwenye Screen hata ukimsemesha hasikii kitu. Ni mwendo wa obesity kila eneo. Na kwa mtindo huu wa maisha si ajabu huko mbeleni tukakosa utamaduni wa kututambulisha kama taifa kabisa!

Mambo ya:

Yai bovu yai bovu ...

Nina ndoo yangu,
Eee!!
Ya kuchota maji
Eee!!
Maji ya barafu
Eee!!
Watoto msiangalie nyuma .......

Yalikuwa ndo yenyewe enzi hizo!
 
Kwanza mmenikumbusha mwanangu nimemsi sana maana nae wa geti kali yaani nikiwa off nyumbani ka mtoto shurti kukimbizana ndani nikimfundisha michezo ya kitoto alikuwa akifurahia sana.
 
Yaani kiakili nimerudi mbaali

saa imefika ya kwenda nyumbani mama amepika,wali na nyama..tulee
 
Nipeleke nipeleke,wapi?kwa bakhresa,
kwa bakhresa kuna nin?jamila katobolewa
Katobolewa na nani?mchaga muuza duka

Malizia
 
Back
Top Bottom