Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,372
- 7,983
Maana yake?😂😂Hii ndo ile wanasema Haji mbona Haji?
Maana yake?😂😂Hii ndo ile wanasema Haji mbona Haji?
cha muhimu ni NIA unaweza kuanza na chochoteKuna mshkaji wangu kaamua kuachana na utumwa wa kuajiriwa. Amekusanya kiasi cha Tsh. 400k na kuniomba ushauri wa kipi afanye ili asije kujuta
Nimemwambia anipe muda nimuangalizie. Na muda huo nalileta suala hili mbele ya JF, where we dare to talk openly.
Anaishi Manzese Dar es salaam. Amekataa kata kata biashara ya kubet ama Folex
Ushauri wenu ndugu katika Bwana...
Uyo jamaa ako ndo weweKuna mshkaji wangu kaamua kuachana na utumwa wa kuajiriwa. Amekusanya kiasi cha Tsh. 400k na kuniomba ushauri wa kipi afanye ili asije kujuta
Nimemwambia anipe muda nimuangalizie. Na muda huo nalileta suala hili mbele ya JF, where we dare to talk openly.
Anaishi Manzese Dar es salaam. Amekataa kata kata biashara ya kubet ama Folex
Ushauri wenu ndugu katika Bwana...
Nimekucheki DM mkuuOk karibu sana
👉 Kuna hizi biashara japo mtaji ni mdg akikomaa anatoka, kikubwa ajitahidi apate backup maake Kuna wakati mtaji unazingua ko backup ni muhimu biashara hizi hapa 👇
👉 Genge la matunda namaanisha maembe, parachichi, azingatie matunda fresh, usafi, na eneo.
👉 Anaweza Kuchoma kuku tu, Tena kwa uswahilini huko ni vzr zaidi anaanza na kidogo kusoma eneo.
👉 Kuna kuuza mitumba masoko kama ya manzese, mwenge na sehemu zenye minada ikiwa yupo tyr!
👉 Akikubali kufanya baba lishe napo kwa kuanzia sio mbaya hapa anatafuta kijiwe kizuri anakitengeneza kinakaa anaanza kutoa huduma.
👉Kuna biashara ya kupika chapati na maharage na supu hii ni unatafuta eneo lolote hata sio lzm fremu!
👉 Kuna kuchemsha supu, miguu, kichwa, ndizi na mtori tuu inakuwa ni supu center uswahilini zinatoka sana
👉 Kwa upande wangu biashara zipo hizo though zipo nyingi sana.
Nakujbu mkuu dk tanoNimekuc
Nimekucheki DM mkuu