Ana 400,000 mfuko wa shati. Anahitaji ushauri

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,328
Reaction score
11,463
Kuna mshkaji wangu kaamua kuachana na utumwa wa kuajiriwa. Amekusanya kiasi cha Tsh. 400k na kuniomba ushauri wa kipi afanye ili asije kujuta

Nimemwambia anipe muda nimuangalizie. Na muda huo nalileta suala hili mbele ya JF, where we dare to talk openly.

Anaishi Manzese Dar es salaam. Amekataa kata kata biashara ya kubet ama Folex

Ushauri wenu ndugu katika Bwana...
 
Ok karibu sana

👉 Kuna hizi biashara japo mtaji ni mdg akikomaa anatoka, kikubwa ajitahidi apate backup maake Kuna wakati mtaji unazingua ko backup ni muhimu biashara hizi hapa 👇

👉 Genge la matunda namaanisha maembe, parachichi, azingatie matunda fresh, usafi, na eneo.

👉 Anaweza Kuchoma kuku tu, Tena kwa uswahilini huko ni vzr zaidi anaanza na kidogo kusoma eneo.

👉 Kuna kuuza mitumba masoko kama ya manzese, mwenge na sehemu zenye minada ikiwa yupo tyr!

👉 Akikubali kufanya baba lishe napo kwa kuanzia sio mbaya hapa anatafuta kijiwe kizuri anakitengeneza kinakaa anaanza kutoa huduma.

👉Kuna biashara ya kupika chapati na maharage na supu hii ni unatafuta eneo lolote hata sio lzm fremu!

👉 Kuna kuchemsha supu, miguu, kichwa, ndizi na mtori tuu inakuwa ni supu center uswahilini zinatoka sana

👉 Kwa upande wangu biashara zipo hizo though zipo nyingi sana.
 
Anunue kuku wakisasa jion abebe jiko na atafute na kijiwen achome sio kukaanga achome nimeona maeneo ya ubungo vijana wawili wanafanya iyo ishu watu wamepanga foleni kungoja kuku
 
Kuna mshkaji wangu kaamua kuachana na utumwa wa kuajiriwa. Amekusanya kiasi cha Tsh. 400k na kuniomba ushauri wa kipi afanye ili asije kujuta

Nimemwambia anipe muda nimuangalizie. Na muda huo nalileta suala hili mbele ya JF, where we dare to talk openly.

Anaishi Manzese Dar es salaam. Amekataa kata kata biashara ya kubet ama Folex

Ushauri wenu ndugu katika Bwana...
Achome mishikaki ya mia mbili mia mbili na ndizi.

Auze ugali nyama choma asubuhi ila azingatie kachumbali na pilipili nzuri.
 
Ok karibu sana

👉 Kuna hizi biashara japo mtaji ni mdg akikomaa anatoka, kikubwa ajitahidi apate backup maake Kuna wakati mtaji unazingua ko backup ni muhimu biashara hizi hapa 👇

👉 Genge la matunda namaanisha maembe, parachichi, azingatie matunda fresh, usafi, na eneo.

👉 Anaweza Kuchoma kuku tu, Tena kwa uswahilini huko ni vzr zaidi anaanza na kidogo kusoma eneo.

👉 Kuna kuuza mitumba masoko kama ya manzese, mwenge na sehemu zenye minada ikiwa yupo tyr!

👉 Akikubali kufanya baba lishe napo kwa kuanzia sio mbaya hapa anatafuta kijiwe kizuri anakitengeneza kinakaa anaanza kutoa huduma.

👉Kuna biashara ya kupika chapati na maharage na supu hii ni unatafuta eneo lolote hata sio lzm fremu!

👉 Kuna kuchemsha supu, miguu, kichwa, ndizi na mtori tuu inakuwa ni supu center uswahilini zinatoka sana

👉 Kwa upande wangu biashara zipo hizo though zipo nyingi sana.
Wacha nimpatie huu mkeka ajue cha kufanya
 
Awe winga wa electronics, atatumia kama 150k hivi kuboost tangazo insta au facebook baada ya hapo mbele kweupeee!
Kuhusu machimbo ya bidhaa hapo ndio pagumu coz watu hawatoi code kirahisi
😂😂Hii ndo ile wanasema Haji mbona Haji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom