Amyner..Miss you so Much!

USIJALI MDOGO WANGU.
Nilionyesha interest naye kwasababu tu, jamaa yake wa kila siku alimuumiza moyo, sasa alikuwa ananiita ili nimpe ushauri binafsi na nasaha za kuushinda upweke!
Nadhani imani yako kwangu imerudi!...au?
 
wewe ndiye unayemtafuta ugomvi asee siy mimi chalii angu
Hahahaaaaa sina ugomvi nae hata kidogo ila akiingia anga zangu ndio tutagombana lakini hadi sasa tunaenda nae vema kwenye ukaguzi
 
kwi kwi kwi kwi, another victim of loneliness! pole mwaya ndio faida ya ubaazazi! Erickb52 mzima weye?
 
Last edited by a moderator:
USIJALI MDOGO WANGU.
Nilionyesha interest naye kwasababu tu, jamaa yake wa kila siku alimuumiza moyo, sasa alikuwa ananiita ili nimpe ushauri binafsi na nasaha za kuushinda upweke!
Nadhani imani yako kwangu imerudi!...au?
Hahahaa PakaJimmy hata hivyo nimejitoa kwake nimeamua kurudi mzima mzima kwa bibie wangu Amyner lol
Kwanza Remmy mwenyewe mgomvi sana we mchukue labda mtawezana mi simuwezi
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi, another victim of loneliness! pole mwaya ndio faida ya ubaazazi! Erickb52 mzima weye?
Kwikkwikwikwikwiiii
Mi mzima na hii sio faida bali hasara kabisa maana waweza umwa
BTW Mi mzima....ile ndoto tutaiota ijumaa eeeeh?
Nimeimiss sana aisee
 
Hahahaa PakaJimmy hata hivyo nimejitoa kwake nimeamua kurudi mzima mzima kwa bibie wangu Amyner lol
Kwanza Remmy mwenyewe mgomvi sana we mchukue labda mtawezana mi simuwezi
Unamharibia ili niache kumpa ushauri binafsi eeh?...Mimi ni profeshino bana, watu wagomvi kama yeye ndio tunakojifunza ku-apply mbinu za ziada!
Lakini , labda kwa ufupi tu, umesikia mambo ya Amyner ya juzi jumapili?...kama umesikia najua utakuwa na roho ngumu ka paka-mweusi!
 
Kwikkwikwikwikwiiii
Mi mzima na hii sio faida bali hasara kabisa maana waweza umwa
BTW Mi mzima....ile ndoto tutaiota ijumaa eeeeh?
Nimeimiss sana aisee
shshshshshshsh babu Asprin kaniambia kaenda mabwepande kutafuta assistance, kuna watu anataka kuwang'oa kucha na meno! wanacheza na wake zake, shaurilo, kaweka ulinzi mpaka ndotoni khaaaaaaa! twafwa siye!
 
Last edited by a moderator:
shshshshshshsh babu Asprin kaniambia kaenda mabwepande kutafuta assistance, kuna watu anataka kuwang'oa kucha na meno! wanacheza na wake zake, shaurilo, kaweka ulinzi mpaka ndotoni khaaaaaaa! twafwa siye!
Hahahaaaa yan cacico umesahau kuwa mi ndio msaidizi wa babu?
Hapo atakiuwa kaenda kwa ajili ya Bishanga tu si mwingine mi sina shida nae hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
no comment! kuna kaukweli ndani yake.
 
Hapo kwenye blue sipaafiki hata kidogo
Kwanza PakaJimmy acha kunipotezea mudi unajua Jumapili niliongea nae akawa anaongea haraka sana then nkamuaga baadae nampigia hapatikani hadi sasa....
Dah una taarifa zozote?
 
Last edited by a moderator:

no comment! kuna kaukweli ndani yake.
Lol
Ukweli gani hapo sasa?
Toa ufafanuzi cacico
 
Last edited by a moderator:
simu yangu inajirestisha in pisi.....
imegoma kukamata network, inaniambia insert sim card....nimeudhikaje.....

hapa navizia Asprin aninunulie mpya...
Yan badala ya kunambia mimi nikununulie mpya unaniambia mambo ya Asprin ? BADILI TABIA naona unatafuta ugomvi na cacico tena yuko hapahapa
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye blue sipaafiki hata kidogo
Kwanza PakaJimmy acha kunipotezea mudi unajua Jumapili niliongea nae akawa anaongea haraka sana then nkamuaga baadae nampigia hapatikani hadi sasa....
Dah una taarifa zozote?
Kwa kukusaidia tu, huenda unamjua dogo mwenzio mmoja anaeitwa The Finest huyu dogo si mzuri!..unajua yuko wapi siku hizi?...Fanya utafiti utakutana na makubwa!..(lakini usinitaje kuwa mimi ndo nilikwambia)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…