Amyner..Miss you so Much!



 
Thanks bro...!
Hope tuko pamoja...ila ukirudi jumla tutafurahi sana.
Shem wako karudi...uje ule dinner kesho!

Ooh thanks my bro!
Btw bado sijamaliza nadhiri ya saumu yangu huko niliko Buza msituni !
Nway niseme asante!
Over & Out !
 
Thanx shem wangu Judgement i cant express how happy i am to be back again.. And ofcourse happy to find Erickb52 safe n sound! Itabidi niulize vizuri lakini huko buza kunani?! Yaelekea ndio makazi mapya nini!

Buza shemeji yangu nalima mammiy ! Tena fiasi mfiringo , waganda wanaita "Rumonde bwa wazungu" wacongomani wanaita "viazi vya kishenzi" ambapo wewe unaita "viazi vitamu" ndiyo vimekubali .
Nadhani my shem hukuwepo , hapa nialiaga kua i'm remained to be a WATCHER !
Because in silenceman can most readily preserve his intergrity !
Nikuache na fumbo moja kama utalifumbua vema, if not iko siku utalijua !
The puzzle say ;
A government that robs Peter to pay Paul can always depend upon the support of Paul !
Over & Out .
 
Last edited by a moderator:
Judgement soma kwanza Mitekenyano ili somo lieleweke.


Buza napapenda sana, ntafutie hata 20x20 mi ntajenga tu ili mradi tuwe majirani na hapo lazima funguo zangu ziwe zinabaki hapo kwako.


Mamndenyi !
Mamndenyi !
Hivi huoni kama unan'tekenya?!
Unan'tekenyea nini lakini ?
Wee hayaa tu! N'tekenye!
Sijui namie nikutekenye! Laa hapana ngoja sitokutekenya leo! kwanza niperuzi methods za mitekenyano!
Karibu Buza.
Over & Out !
 
Yaani Kipipi dear missed u too!! Itabidi tukutane for michapo.. kuna ka scandal juu yako ndo maana wanakutaja taja ovyo..

We nifuate tu mi niko available.
Ila zingatia kuwa hata huku kuna watu wamehamia digitali kwa king'amuzi cha majungu dot com.

Sijawahi kuwa na scandal na hao wanaonitaja taja ovyo . . . . sijui wananitakia nini jamani.
Haya bana ukiwa tayari utaniambia.
 
Una akili Kipipi lol
Hebu baadae uje tule chakula cha Amyner
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…